Текст песни Rudi - Rich Mavoko , Patoranking
Sauti
na
tabasamu
lako
Ndio
linafanya
nikukumbuke
Kinachoniumiza
mwenzako
Unapolia
chozi
nsifute
Mapenzi
sidhani
mimi
Kilichobaki
ni
uadui
Kuniona
hautamani
kwanini?
Kweli
maziwa
nimegeuka
tui
Nami
nina
moyo
Yapita
miaka
mingi
sijakuona
Nami
nina
moyo
mama
Upate
siku
moja
uje
niona
Nami
nina
moyo
Yapita
miaka
mingi
sijakuona
Nami
nina
moyo
mama
Ungalisema
neno
moja
ningepona
Mwenzako
sura
yangu
(Nitaiweka
wapi?)
Ooh
sura
yangu
(Nitaiweka
wapi?)
Ama
Moyo
wangu
me
(Nitauweka
wapi?)
Ooh
Moyo
wangu
(Nitauweka
wapi?)
Mwenzako
sura
yangu
(Nitaiweka
wapi?)
Ooh
sura
yangu
(Nitaiweka
wapi?)
Ama
Moyo
wangu
me
(Nitauweka
wapi?)
Ooh
Moyo
wangu
(Nitauweka
wapi?)
Sickness
Sickness
Sickness
small
me
Well
me
yes,
you
are
dumping
me
In
this
wicked
World
Baby
every
one
needs
a
company
My
heart
bleeds
For
your
Love
Girl
i
bleed
for
your
love
Me,
me
can
imagine
If
you
know
dey
me,
what
a
sad
ting
(aaaaaeeeeeh)
I
can′t
imagine
You
inna
me
life
girl
what
a
sad
ting
Nikiwa
nawe
mwenzako
ndo
napona
Na
nikilala
usiku
ndotoni
nakuona
Ukipata
mafua
me
napa
ka
homa
I
wanna
be
your
lover,
your
friend
and
your
owner
Kwa
mawazo
silali
mama
yangu
Basi
rudi
ooh
Natamani
ulitaje
jina
langu
Makusudi
ooh
Nami
nina
Moyo
Yapita
miaka
mingi
sijakuona
Nami
nina
Moyo
mama
Upate
siku
moja
uje
niona
Nami
nina
Moyo
Yapita
miaka
mingi
sijakuona
Nami
nina
Moyo
mama
Ungalisema
neno
moja
ningepona
Mwenzako
sura
yangu
(Nitaiweka
wapi?)
Ooh
sura
yangu
(Nitaiweka
wapi?)
Ama
Moyo
wangu
me
(Nitauweka
wapi?)
Ooh
Moyo
wangu
(Nitauweka
wapi?)
Mwenzako
sura
yangu
(Nitaiweka
wapi?)
Ooh
sura
yangu
(Nitaiweka
wapi?)
Ama
Moyo
wangu
me
(Nitauweka
wapi?)
Ooh
Moyo
wangu
(Nitauweka
wapi?)
(Wasafi)
Nimefuta
na
mabaya
yako
(ayeeh)
Sikutishi
me
kinyago
wako
(ayeeh)
Ninachotamani
ni
uwepo
wako
(ayeeh)
Kwenye
nafsi
upo
peke
yako
(ayeeh)
Please
don't
go
(ayaya)
Girl
please
don′t
go
(ayaya)
Please
don't
go
(ayaya)
World
best
and
Mavoko
Внимание! Не стесняйтесь оставлять отзывы.