Текст песни Dakika Moja - Ruby
Oooh
oooh
Hey
yeiii
yeah,
Sukari
imegeuka
chumvi
Paka
amegeuka
chui
Matope
yamekuwaga
vumbi
Maziwa
yamegeuka
tui
Kupendana
baba
ni
kwa
zamani
Siku
hizi
kufa
kufaana
Upendo
hauna
thamani,
Hey
Upendo
na
mama
mama
Ni
kwa
zamani
Siku
hizi
kufa
kufaana
Upendo
hauna
thamani,
Dunia
ina
raha
yake
iyee
Na
mabaya
yamo
humo
Na
visanga
vyake
iyee
Na
mabaya
yamo
humo
Dunia
ina
raha
yake
iyee
Na
mabaya
yamo
humo
Na
visanga
vyake
iyee
Na
mabaya
yamo
humo
Ukifika
nenda
mwambie
Dakika
moja
tu
Mimi
Nataka
niongee
naye
Dakika
moja
tu,
Akichelewa
nitasubiri
Nitangoja
tu
Ila
nataka
niongee
naye
Dakika
moja
tu
Aaaah...
Naona
kama
me
nachomwa
na
jua
Usiku
mkali,
Na
maradhi
naugua
Unanichanganya,
Navyo
sema
nazingua
Kisasi
na
salary,
Me
nawaza
nawazua
Aaah,
Si
ulikubali,
kwa
kila
hali
Baba
Leo
mwisho
wa
safari,
Unarudi
nyuma
baba
Si
ulikubali,
Kwa
kila
hali
baba
Leo
mwisho
wa
safari,
unarudi
nyuma
baba
Hee,
Dunia
ina
raha
yake
iyee
Na
mabaya
yamo
humo
Na
visanga
vyake
Na
mabaya
yamo
humo
Dunia
ina
maajabu
yake
Na
mabaya
yamo
humo
Na
visanga
vyake
iyee
Na
mabaya
yamo
humo
Ukifika
nenda
mwambie
Dakika
moja
tu
Mimi
nataka
niongee
naye
Dakika
moja
tu
Akichelewa
nitasubiri,Nitangoja
tu
Ila
nataka
niongee
naye
Dakika
moja
tu
M
Wambie
azibe
nyufa
Akichelewa
nitakufa
Hey
Sawa
sawa,
Sawa
sawa
Sawa
sawa,
Sawa
sawa
Sawa
sawa,
Sawa
sawa
Sawa
sawa,
Sawa
sawa
Внимание! Не стесняйтесь оставлять отзывы.