Текст песни
Vunja
mifupa
kama
meno
bado
iko.
vunja
mifupa
kama
bado
meno
iko...
utakuja
lia
ukishapoteza
muda
wako...
utakuja
lia
ukishapoteza
muda
waaako...
Fikiria
kama
ungali
bado
kijana
aaa.
Tengeneza
maisha
yako
usaidie
jamii
yako...
masiku
miaka
zinaenda
hazitarudia
eee...
masiku
miaka
zinaenda
hazitarudi
tena.
Kwa
hivyo
chunga
ndugu
yangu
ee
.usifate
wale
wabaya.
Kwa
hivyo
chunga
ndugu
yangu
ee
usifate
wale
wabaya...
Eeeeee...
aaaaa...
Eeeeeee...
Punguza
ulevi
ndugu
chunga
jamii
uako
ee...
watateseka
bure
kwa
ajili
yako...
Somesha
mtoto
shule...
apate
elimu
eeee
atafaidika
kwa
maisha
yake...
Vumilia
ndugu
maisha
magumu
eee
dunia
ni
hivyo...
hivyo
ndivyo
ilivyooo...
Punguza
ulevi
ndugu
chunga
jamii
yako
ee
watateseka
bure
kwa
ajili
yako...
Somesha
mtoto
shule.
apate
elimu
ee
atafaidika
kwa
maisha
yake...
Vumilia
ndugu
maisha
magumu
ee...
dunia
ni
hivyo.
hivyo
ndivyo
ilivyo...
ooo
Siompeta...
hahahaaa
Samba
mapangala.adiote
paris...
ooohh.
jotoo
Hima
hima
hima
Ses
hese
ses
Chini
jujuu
x
8
Внимание! Не стесняйтесь оставлять отзывы.