Shetta feat. Diamond Platnumz - Nidanganye текст песни

Текст песни Nidanganye - Shetta , Diamond Platnumz



We bora nidanganye danganye danganye tuu
Ukinambia ukweli ntaumia
Hata nikikukuta chumbani mtupu umekombatiwa
We bora nidanganye danganye danganye tuu
Ukinambia ukweli ntaumia
Si unajua kwako Sijiwezi me siwezi ntalia
Baby nakupenda ndio
Sikliza moyo wangu unavyokwenda mbio (yaani kasi)
Usinipe wasiwasi nighaasi
Ila ukinitenda sio
Nakutaka wewe tu baby boo haya
Nidanganye tuu uwe true lier
Ila ni vibaya ukinitupa kwenye fire
Nipige kama kinanda na me niimbe kama kwaya
Kitaa kuna tetesi eti machizi kibao wanakuona mwepesi
Sihitaji ukweli baby please
Sitanuna hata nikikufuma na KGT
Niambie kaka yako tu basi
Love inanipa stimu kama nyasi
Japo nipo fit kama nyati
Kwako sitaki vita nipo peace mpaka basi
We bora nidanganye danganye danganye tuu
Ukinambia ukweli nitaumia
Hata nikikukuta chumbani mtupu umekombatiwa
We nidanganye danganye danganye tuu
Ukinambia ukweli nitaumia
Si unajua kwako sijiwezi me siwezi nitalia
Hekima na busara zishakumba fikra zangu
Hisia zikitawala sifichi kama utupu wangu
Uje unikombate upokee zawadi zangu
Kiss sio lazima danganya mashavu yangu eeh
Ukweli unauma nanikijua moyo utauma
Fanya siri kama unaiba mali ya umma
Na nikistuka nidanganye danganye tu kiaina
Kwako nimefeli ′F me mpofu
Nimezama na hiki kina kirefu
Nimetokea Tanga na mahaba usinichukie
Nataka nikusifu mamushika nijickie
Naomba unidanganye hata wanangu waniaminie
Kama unanimis njoo maskani uniulizie
Japo wajanja wanapanda tu dau
Kukubali sio mbaya ila usinisahau
Niigizie angalau ingawa
Nyuma ya pazia madharauu
Niigizie angalau
Ingawa nyuma ya pazia madharauu
We bora nidanganye danganye danganye tuu
Ukinambia ukweli nitaumia
Hata nikikukuta chumbani utupu umekombatiwa
We bora nidanganye danganye danganye tuu
Ukinambia ukweli nitaumia
Si unajua kwako sijiwezi me nitalia...
Ukweli unauma na nikijua moyo utauma
Baby nakupenda ndio sikiliza moyo wangu unavyo kwaenda mbio
Ukweli unauma naniijua moyo utauma
Nakupenda ndio hebu sikiliza moyo wangu unavyokewnda mbio
Ukweli unauma na nikijua moyo utauma
Nakupenda ndio
Hey it you boy the president
Shetta shesheshe ... Shetta
Shetta shesheshe ... Shetta
KGT Shetta shetta (Moyo unauma)
Nakupenda ndio sikiliza moyo wangu unavyo kwenda mbio
Ukweli unauma na nikijua moyo utauma
Nakupenda ndio sikiliza moyo wangu uanvyo kwenda mbio
(Inatosha)



Авторы: Nurdin Ally Bilali


Shetta feat. Diamond Platnumz - Nidanganye
Альбом Nidanganye
дата релиза
14-05-2017



Внимание! Не стесняйтесь оставлять отзывы.