Текст песни Mdananda - Shetta
Dhahabu
records
(yeah
iih
yeah
hii)
Records
(ha
aah
haa
aah)
Hiye
eeh
eeh
eeh
Nimeamini
apangalo
mola
Huwezi
pangua
yeye
ndiye
anaejua
Yaani
ningejua
jinsi
alivyokuwa
Nisinge
jisumbua
kumchukua
Ubaya
sitaki
(twende)
Dhihaki
(kweli)
Si
rafiki
(ubaya
sitaki)
Nasema
sitaki
(sitaki),
kubaki
Mnafiki,
rafiki
gani
mdananda
Anapenda
ku-bang
Hanakazi
huyu
jamaa
Na
mastaa
kadhaa
Wenye
jina
ndani
ya
Dar
Si
nikajaa
mi
mzawa
wa
Dar
Nikaachwa
kwenye
mataa
Nashaanga
na
maseke
nimezidiwa
mang'aa
Mashaka
yalikuwa
kando
(ahaa)
Nilihisi
mchizi
bonge
la
mwana
(haaa)
Kumbe
mgambo
Vitani
hawezi
kushika
zana
Aah!
Kweli
kufa
kufaana
Nimeamini
ya
leo
sio
ya
jana
(Kweli
ya
leo
sio...)
Vizuri
kufa
na
ujana
Ila
life
ya
Dunia
ni
tamu
sana
Hizo
sekunde
na
dakika
Bora
ningerudi
nyuma
Niwe
bonge
la
bitozi
Hata
salamu
ningeuchuna
Mbio
zimegonga
ukuta
Kusanuka
kisha
nuka
Na
matuta
nimeruka
nimeanguka
Siwezi
tena
nyanyuka
Ata
ata
shabaa
Alinitonya
wewe
ni
rafiki
Bar
Nikapuuza
kwa
kujawa
na
mzaa
wa
kitaa
Ghetto
la
dastamina
pia
nikalikataa
Nilihisi
kama
nabanwa
(kweli
nilitoswa...)
Wewe
niliyekulea
ukiumia
nafeel
pain
Mtetezi
juu
yako
kama
jeshi
la
UN
Ulidaiwa
sikusita
kukulipia
madeni
Leo
iweje
uniingize
mkengeni
Nimeamini
apangalo
mola
Huwezi
pangua
yeye
ndiye
anayejua
Ningejua
jinsi
alivyo
kuwa
Nisingejisumbua
kumchukua
Ubaya
sitaki
(twende)
Dhihaki
(wee)
si
rafiki
Ubaya
sitaki
Nasema
sitaki
ubaki
Mnafiki,
rafiki
gani
mdananda?
Nilikuwa
ndani
ya
ghetto
Na
settle
mipango
ya
kesho
Mara
ring
ring,
kucheki
alikuwa
mwana
Story
ilikuwa
hivi
nanukuu
michapo
Mwanangu
sio
siri
unazari
la
mentally
Kuna
binti
mtaa
wa
pili
anadai
anakukubali
Anasema
nyimbo
zako
unajua
panga
mistari
Tajiri
hatari
wacha
tuchume
mali
Isitoshe
anafiga
matata
hana
dosari
Leo
leo
ukienda
atakuhonga
hata
gari
Kifupi
sijajivunga
na
pozi
zilikimbia
Ulofa
nilionao
mnyamwezi
nikajitupia
Upendo
kasi
kama
goli
la
First
Tuliishi
kwenye
bangalo
Sio
nyumba
za
guest
Shida
nilishinda
hata
kwa
manji
navimba
Kumbe
nimepewa
goma
limepigwa
sindimba
Yule
dada
ni
muathirika
nilitumika
bila
kinga
Na
mchizi
alishajua
na
potimba
nachinjwa
Hee,
hee,
heee
Heee
heee
hee
Nimeamini
apangalo
mola
Hawezi
pangua
yeye
ndiye
naejua
Ningejua
jinsi
alivyo
kuwa
Nisingejisumbua
kumchukua
Ubaya
sitaki
(twende)
Dhihaki
(heee
ehe)
si
rafiki
Ubaya
sitaki
Nasema
sitaki
(sitaki)
ubaki
Unafiki,
rafiki
gani
mdananda
Mamamamamma
Nisingejisumbua
kabisa
Yeah
eeh
eeh
Demu
hafai
iiih
Dastamina
aaeeeeh
Dastamina,
dastamina
Demu
hafai
Dastamina
Eeh
demu
hafai
Внимание! Не стесняйтесь оставлять отзывы.