Shetta - Bora Uende текст песни

Текст песни Bora Uende - Shetta

Nlikuuliza we unaweza ishi nami?
Ukasema huwezi kabisa.
Iweje leo so unataka kuwa na mi kwamba tuanzishe maisha
Baby, kile kidonda ulicho kiacha, mbona zamani kilishapona
Mi namaanisha nishampata mwingine anaeweza icho ndomana
Nilopokwita uliitika wala hukusema ka'unaweza kuondoka baby.
Iweje leo unasita kuishi nami we unasema utaweza my lady
Nilopokwita uliitika wala hukusema ka'unaweza kuondoka baby.
Iweje leo unasita kuishi nami we unasema utawee... za.
Maumivu ya Mapenzi ni bora mtu akuunguze na moto
Niliamini utanienzi lakini umeniletea utoto
Maumivu ya Mapenzi ni bora mtu akuunguze na moto
Niliamini utanienzi lakini umeniletea utoto
Ulipokimbia, njia na mwendo ulipotokea
Aliingilia, Mrembo mwingine nikamwimbia
Akasikia, kama na Mate nikampatia nikaoa kabisa.
Hivi ni nini lokufanya we uka-Go
Ukaniacha ukaniumiza my Soul
Acha niseme sikutaki any more yeah eey
We dem gani tena mbaya mtoa roho
Nakukumbuaka ila sitaki tena no
Acha niseme sikutaki anymore yeah eey
Nilipo
-Nilopokwita uliitika wala hukusema ka'unaweza kuondoka baby.
Iweje leo unasita kuishi nami we unasema utaweza.
Maumivu ya Mapenzi ni bora mtu akuunguze na moto (eey)
Niliamini utanienzi lakini umeniletea utoto (ooh)
Maumivu ya Mapenzi ni bora mtu akuunguze na moto
Niliamini utanienzi lakini umeniletea utoto
Nibora, nibora uende
(Lakini umeniletea utoto)
Nimepata mwingine naomba nawe nenda katafute mwingine
Ahadi zako uliapa milele sitokukosa
Na kwenu walinikubali bila hata kuleta Posa
Ukajifanya kama Meli ya Mgiriki ukanitosa
Tena bila ya huruma na kunibambikia makosa
Ah si ulinipa hard time nkakesha bila kitanda
Moyo ulizidi penda nahisi kwa nguvu za Mganga
Kwa visa na viranga mwenyewe Msela nkasanda
Nusura, Nusu kudata kudanja (Ok)
Nusura, Nusu kudata nusu kudanja
Kipi ulicho sahau mpaka unanifata fata
Au ulipanda mti unataka kuja kuukata?
Au (*#*) ndo utata
Tuache huu ndo muda wakwetu wakula bata
Maumivu ya Mapenzi ni bora mtu akuunguze na moto
Niliamini utanienzi lakini umeniletea utoto
Maumivu ya Mapenzi ni bora mtu akuunguze na moto
Niliamini utanienzi lakini umeniletea utoto
Nimempata mwingine naomba nawe nenda katafute mwingine (Ooh yeah.)
Nimempata mwingine (ma baby)
Naomba Nawe nenda katafute mwingine (Ooh yeah)
Baby... Hey yea Umenichuna ma baby
Ni bora. Ni bora uendee.

Авторы: Shetta

Shetta - Bora Uende
Альбом Bora Uende
дата релиза
13-02-2015

Внимание! Не стесняйтесь оставлять отзывы.