Shilole - Malele текст песни

Текст песни Malele - Shilole



Nahreel...
Ahh toleka...
Shishi baby!
Ahh aa toleka
Ahh aa kabinang'ai ashi akina ah aa
Mkono usiguse shavuni, ishara ya huzuni.
Uchafu yake sabuni shoga ah kajisugue,
Mahaba ninyonge chumbani hata hadharani,
We anakujua nani nmechorwa tatoo,
Bridge;
Haa
Hubby nipe mimi tu, achana na watu,
Washakusema sanaaa ah
Washasema mengi, hayana msingi,
Washasema mengi hayana maana
Ana malele huyo ×2
Analelua, kansimulie×2
Mmepata nini tangu muanze kunisema?
Nimeachwa lini mpaka mpate la kusema?
Unang'ata unauma unang'ata,
Heri ya kibaka ataiba ataondoka.
Bridge;
Haa
Hubby nipe mimi tu, achana na watu,
Washakusema sanaaa ah
Washasema mengi, hayana msingi,
Washasema mengi hayana maana
Ana malele huyo ×2
Analelua, kansimulie×2
Shoga ubebeki kila siku kesi,
Mbona mikosi hauishi nuksi
Bridge;
Hubby nipe mimi tu, achana na watu,
Washakusema sanaaa ah
Washasema mengi, hayana msingi,
Washasema mengi hayana maana
Ana malele huyo ×2
Analelua, kansimulie×2



Авторы: Shilole


Shilole - Malele - Single
Альбом Malele - Single

1 Malele




Внимание! Не стесняйтесь оставлять отзывы.