Slum Drip - Yolla текст песни

Текст песни Yolla - Slum Drip




Yola
Kuliko ni mbona sasa unakimbia
Yola
Mbona akili zako zinakwishia
Yola
Wallahu huna wako kujali
Wamesha kutopia mbali
Kila mahali ni hatari
Yola
Kuliko ni mbona sasa unakimbia
Yola
Mbona akili zako zinakwishia
Yola
Wallahu huna wako kujali
Wamesha kutopia mbali
Kila mahali ni hatari
Ukawa hatari, yeeh
Chachote ulete, weeeh
Na mimi ni nuni, yeeh
Kumbe ni mwizi, weeeh
Mipango mikali, yeeh
Mbaye kuzidi askari, yeeh
Na sio shujaa
Lakini ibidi alimpiwe
Hata wazazi wamesha bushiba
Umesha watia msiba
Tabia mbaya na watu wabaya
Watakuleteaka shida
Watangulia kuitiba
Kumbe mtaani una sikika
Na kesi zako utashikwa
Omba mola yatakwisha
Barikiwa, eeh
Mtoto wa Mungu we barikiwa
Tangulia
Na wewe ndio kweli utatangulia
Kipi mbona umeshindwa
Wenzako huko wamefika
Tatizo moja unabisha
Lini kipi kitakwisha
Yola
Kuliko ni mbona sasa unakimbia
Yola
Mbona akili zako zinakwishia
Yola
Wallahu huna wako kujali
Wamesha kutopia mbali
Kila mahali ni hatari
Yola
Kuliko ni mbona sasa unakimbia
Yola
Mbona akili zako zinakwishia
Yola
Wallahu huna wako kujali
Wamesha kutopia mbali
Kila mahali ni hatari
Wacha ntulie, wacha nsilie
Kweli shida zetu ngumu wacha tutizimie
Hujamaa, wala hayakaa
Wacha ntulie
Labda saa zingine
Nayatajifikisha mbele
Na muna anafite wewe muira
Nahoya yaaya
Na mtuzo yaba afite
Rwose yapfa
Killa man, pia wanamuita killa man
Mzee wama deal, madina tell
Use wanafikia man
Ibyo nyemesse birikuza ni byinshi
Wewe intudanyi ni nyinshi
Ni kuche wewe huti rakonjirika
Uishuka kwishitura
Imirima isanzwe irakunanira
Hushaka kukorakora
Kuruu ubu nihepi jikora
Shakisha izindi nzira
Yola
Kuliko ni mbona sasa unakimbia
Yola
Mbona akili zako zinakwishia
Yola
Wallahu huna wako kujali
Wamesha kutopia mbali
Kila mahali ni hatari
Yola
Kuliko ni mbona sasa unakimbia
Yola
Mbona akili zako zinakwishia
Yola
Wallahu huna wako kujali
Wamesha kutopia mbali
Kila mahali ni hatari



Авторы: Dominique Ngabonziza, Slum Nizeyimana


Slum Drip - Y.O.L.L.A.
Альбом Y.O.L.L.A.
дата релиза
28-02-2020



Внимание! Не стесняйтесь оставлять отзывы.