Ssaru - Dea Moda текст песни

Текст песни Dea Moda - Ssaru



First time ulinichekigi kwa mbulu najua ulishtuka hadi ukapiga nduru
Uko surprised ati Saru ndio huyu wakati ulinicheka ju niko na katululu
Unajifanya umekuja kwangu kuzuru na si tunakujua buda jo we ni kunguru
We unahate unajifanya we ni guru na ni nikikucheki nakuona ka kalulu
Boom! Ka kalulu mi narole na uhuru
Ukiwa kwa ngori bado mi nakunusuru
Mashaallah naogopa kukufuru huyu ni mungu bado ananiweka tu kwa nuru
Ah mtu ako huru... sa nipate buru
Watakucheka ju uko class ya gumbaru
Ka we ni rapper jo buda kaa rada ju ka Niko around mi ndo huwaga commander
Niko hapa nimekuja kumada na venye mi natema nakuonaga mshamba
Rende ni less haipiti mtu saba ka nikuadisia adisia tu wamatha
Hao wengine ni watoto wachanga wanalalaga sana mpaka wanavunja kitanda
Ka niko late nakujaga Kama mwanga
Hii ni kali utachase tu na waba
Nipate base ni kuseti tu mawada
We ni mless na unapendaga... eyy... eyy
Eww boom hii ni team ya wakanda
Hatubagui jo kuna mpaka wakamba
Hakuna mtu anamind bro we tamba
Alafu ka ni luku daily si hudunga Pamba
Sikuizi wametii wananiita DEA moda
Daily Niko mboka staki kurudi moshadha
Wamelegeza na nakuja kuwakaza
Sai wakinidiss story zilifika tanga
Wewe mnafik na unajifanya rafik
Saa yenye nakuhitaji unadai umekwama kwa traffic
Wanafaa kutense ju nimegundua tactic staki izo mapenzi zenu fake Niko love sick
Skiza baby boo sikupi penzi la uduu
Mi nishalegeza njoo unibebe juu juu
Na staki nobody baby me I want you
We ndio huwa unafanya roho inadunda dudu
Tuma fare sina Ganji inaddi purse
Working on me mi nabend Down the couch
Adi teacher kwenye field me adi coach
Broke mi na say that's a rude's man pouch
Nimefika nikumekuja kuwareplace
Adabu zao jo ni kama walimisplace
Zangu ninazo sasa cheki Niko decent
I'm the baddest kwa game keep a distance



Авторы: Sylvia Sylvia


Ssaru - Dea Moda
Альбом Dea Moda
дата релиза
13-04-2021


Еще альбомы
Исполнитель Ssaru, альбом Swagger
2020
Исполнитель Ssaru, альбом Cheki
2020
Исполнитель Ssaru, альбом Dhudha
2020
Исполнитель Ssaru, альбом Dose
2020
Исполнитель Ssaru, альбом Zungushiwa
2020
Исполнитель Ssaru, альбом Nyama
2020
все альбомы


Внимание! Не стесняйтесь оставлять отзывы.