Steph Kapela feat. Scar Mkadinali - Wewe Ni Nani текст песни

Текст песни Wewe Ni Nani - Steph Kapela



Wewe ni nani? Wewe ni wa kina nani
Ati umetoka pande gani
Wapi mtaani mbona ni ka haujulikani
Buda umecome na kina nani?
Mbona unakaa summer bunny flani
Unakaa wa Kilimani, umefikaje Kasarani
Buda umejileta pabaya
Wacha kakitu naweza kutetea
Ata magova ndo wale wabaya
Nampa kakitu na anatembea
Life si fare lazima vijana washibe
Ju maisha ilishatulemea
Huwezi compare kama uliweza kusoma
Usikam kunisomea
Eh kenye ulipewa mi sina
Wengine lazima tusake (Lazima tusake)
Kenye haipatikani kwangu
Lazima ipatikane kwake (Tutapata kwake)
Nalenga chai walai
Nihustle nipate mkate
Bahati mbaya mi nihate
Siwezi kushiba na mate
Mwisho wa rodi labda ni pingu
Labda ni panga vile itakam
Ngori ni ngori bado nakam
Sinaga worry mbogi haram
Mwisho wa rodi labda ni pingu
Labda ni panga vile itakam
Ngori ni ngori bado nakam
Sinaga worry mbogi haram
Wewe ni nani? Ka hatukujui tunakudisrespect
Usiulize nakuibia kwa nini
Hata mimi naibiwagwa na MCSK
Nikikupona nanunua makali
Kuomoka na wizi hata mi si-expect
We unaona mabati mi naona nyumbani
Kacheze mbali buda hii si estate
Ambia hako ka-hater bado anatafutwa
Manze na astick aliko
Wanateta mi nina vitu mbili kubwa
Buda dick na ego
Hadharani nina njora
No face utadhani ni horror
Si ni wakora wakuchora
Kukusorora before kukupora
Huku ni kazi na sala azyn hakuna kulala
Wametu-wametukazia sana
Me ndo nakaanga na ganji ya chama
Niko na gari hapana lakini Benz tukikuja matanga
Fala-Fala anakwara tukamvunja mifupa
Kwa kumsamba mapanga
So labda ni pingu
Labda ni panga, vile itakam
Ukianzisha ngori naongeza irori
Ndo tujue ni nani ndo chizi akijam
Mwisho wa rodi labda ni pingu
Labda ni panga vile itakam
Ukianzisha ngori naongeza irori
Ndo tujue ni nani ndo chizi akijam
You gotta know how to move in the city
I walk with a limp, I got money in the shoes
She got em drooling the size of the titties
But they don't know that's where she keeps all the loot
I can't make a call in the middle of the traffic
Unless the windows is up to the max
And even men I cannot even relax
I know how niggas be moving in packs
I swear we moving the best
Ningewapora but my mama called me
And told me to rap
Mi nina mbogi Kisumu, Nairobi, Nakuru
Mombasa they call me Sultan
These niggas they know me
I'm a hustler hommie si brag
Na siogopi na mi niko territory yenu
Hapa chogi anaweza pigwa slap (Pah)
Tao niko rada nikitoa MPESA
Alafu natoa karibu na stage
Nipande matatu ndo wasinifuate
Tukware na donda ju mi sina change
Nikidondoka nakanyaga kubwa kubwa
Ka masaa zimeshapita ten
Ju hata jirani nika hawakujui
Usiku kumbuka washapiga shem
Hii rende ni wrong, rende no nonsense
So si wanajuangaa ni nani wata-blame
Chrome inafanya msupa akuwe ratchet
Kumbe anaplan kukukula machain, hahaha
Shika kindom uwashe
Una roho chafu mi staki hiyo chain
Mi si kondoo si move na masses
Hivo ndo mbleina hushikwa na maplain



Авторы: Ivan Odie, Scar Mkadinali, Steph Kapela


Steph Kapela feat. Scar Mkadinali - Wewe Ni Nani
Альбом Wewe Ni Nani
дата релиза
09-04-2021



Внимание! Не стесняйтесь оставлять отзывы.