Stereo - Haina Ngwasu текст песни

Текст песни Haina Ngwasu - Stereo



Whoooah! Hehehee! Heheh! Yeah!
Mara nyingine tena! (one two*²)
Mujuwahukii! Stereo flow Stereo Goo!
Natema verse sikia risasi gobole la babu
Sababu na na ghadhabu sawasawa nipe jawabu
Wachawi wanapisha nawakilisha baba ubaya
Naanzisha nazika rappers sina ndoto za kwenda ulaya
Jua kali kwenye utosi by mama,
Mbele ya vikosi nipo mikosi the lye lama
Runnin game nafoka bado sijachoka nasaka
Daily bread nakeep local ndani ya ever met
Yooh! Stereo the rap name rap game
Eagle nawasnatch nawaburn dem rough lay
Wanga wanakesha hawalali
Lines punch kali zaid ya ndogo za mashali
Down to the beat Stereo father wa Rap Genesis
Rogome ndo father wa Rap Genetic
Ukonga ghetto limerudi kwenye himaya
Peace kwa Wema Sepetu na Masoud sura mbaya
Napigika kuzisaka chapaa (Haina Ngwasu)
Maisha yanakatisha tamaa (Haina Ngwasu)
Bado nawajibika papaa (Haina Ngwasu)
Siachwi kwenye mataa
Mamwela wakuda wote sema (We Don't Stop) Yeah
(We Don't Stop)
Masela mademu wote sema (We Don't Stop) Yes yes Yooh!
(We Don't Stop)
Sina team sina group kwenye twitter
Nipo proper nipo focus nina books kwenye kichwa
Bado nitawaficha niwe Jux niwe Peter
Acha nichane nifanye iwe mzux iwe chicha
Speacker zinawika nafika nasikika mbali
Sichezi umepikwa wali night mida ya kabali
Popobawa noma majita tulale chali
Sisterduu usibane sana leta zali kwa mentally
Namwaga ink nipe link kwenye process
Pastor juu ya beat so speak kama prophet
Haina kuretreat kusarenda kuogopa
Mapenzi sio mabaya wapenzi wanapenda tu kuongopa
Nguvu ya Mola si nguvu ya serikali
Na nguvu ya Doller haina nguvu spiritual
Bonge la mzuzu usoni kauzu muulize duzu mi nimefuzu we zuzu lyrically
Napigika kuzisaka chapaa (Haina Ngwasu)
Maisha yanakatisha tamaa (Haina Ngwasu)
Bado nawajibika papaa (Haina Ngwasu)
Siachwi kwenye mataa
Mamwela wakuda wote sema (We Don't Stop) Yeah
(We Don't Stop)
Masela mademu wote sema (We Don't Stop) Yes yes Yooh!
(We Don't Stop)
Aah Tichi flow zinadunda ka Jet Lee
Sirudi nyuma A inapobuma naset B
Niite Butha niite Monk meditation brother
Chini ndula Rasta kula vegetation cover
Education is key mlango ni maisha
Usipige hodi kwenye mlango wa kanisa
Niite Holly Priest sina mpango na masista
Picha ni In the Jungle we ni Rambo namba 9
Nalipuka TMT vita haina macho kill MC's
Nagawa kichapo ki MP
Bongo jua kali dua swali swali sala kirusi
Nakula data nakula bata naswala tabata mbagala
Singasinga kwenye hewa
Natema tungo chafu na mitaa inanielewa
Buti kali halifai bila mtoko,
Mitaani msoto mkali hatunywi chai bila ukoko
Napigika kuzisaka chapaa (Haina Ngwasu)
Maisha yanakatisha tamaa (Haina Ngwasu)
Bado nawajibika papaa (Haina Ngwasu)
Siachwi kwenye mataa
Mamwela wakuda wote sema (We Don't Stop) Yeah
(We Don't Stop)
Masela mademu wote sema (We Don't Stop) Yes yes Yooh!
(We Don't Stop)




Stereo - Rafiki
Альбом Rafiki
дата релиза
09-11-2015




Внимание! Не стесняйтесь оставлять отзывы.