Текст песни Rafiki - Stereo
Nilikutana
nae
pande
za
Kinondoni
Mida
ya
saba
mchana
ilisema
saa
ya
mkononi
Stendi
ya
daladala
maarufu
kama
Morocco
Mi
natokea
Mbagala
naenda
pande
za
King'oko
Ghafla,
nikashtuka
alivyonigusa
bega
Kwa
gadhabu
milipogeuka
ni
yeye
nikaona
shega
(Ila)
sikuamini
nilipomuona,
kwamba
ni
bibi
Au
msichana
mdomo
kushona,
ikanibidi
Namkumbuka
nilisoma
nae
shule
ya
msingi
Ndugu
hawana
mpango
nae
tangu
alipokufa
dingi
Darasa
la
saba
nauhakika
hakumaliza
Usawa
ulikaba
akikumbuka
inamuumiza
Yamemsibu
rafiki
ukimuona
huwezi
kumjua
Kachakaa
hatamaniki
hana
viatu
anapekua
Dhambi
kumpa
kisogo
hana
tiba
anapougua
Shida
zake
tangu
mdogo
sasa
mtu
mzima
amekua
Siku
ikipita
hajala
inshaallah,
Mola
anajua
Wapi
usiku
atalala
ni
msala,
anaomba
dua
Anatamani
kufa
msalaba
apate
kuutua
Kafeli
kujiua,
Mungu
hajapenda
kumchukua
[Chorus
–
I'm
sitting
in
my
room
Thinking
back
on
you,
memories
high
I'm
sitting
in
my
room
Thinking
back
on
you,
memories
high
[Verse
2 –
Kumbe
alipata
kazi
ya
usafi
ndani
ya
kanisa
Na
nyumba
ya
mwiinjilisti
aliamini
nyoka
wa
Kibisa
Maisha
yakaendelea,
mara
zikaanza
visa
Alipoguswa
akalegea,
pasta
nyavu
akatikisa
Lisa
aka-surrender
kama
mtuhumiwa
kortini
Akasahau
kalenda
kwa
utamu
wa
penzi
ofisini
Kila
starehe
alitenda
zaidi
ya
pasta
na
muumini
Mwazimu
aligeuka
mwenda
aliyempenda
kiongozi
wa
dini
Alimchengua
akili
na
kumuondolea
usichana
Mengine
akaona
sio
dili,
ngono
ndo
tamu
sana
Kakesha
akisubiri,
maana
anajulikana
Miezi
ni
kumi
na
mbili
ila
hata
mmoja
hakuonekana
Akamfungia
safari,
pasta
aliyempenda
jana
Bahati
mbaya
hakuwa
tayari
kuikubali
akamkana
Mbele
ya
umati
akamuumbua
sio
yake
wakaachana
Akamuapia
angemuua
endapo
kwake
angeonekana
Akaipoteza
imani,
akazamia
mitaani
Kwa
ushetani
wa
pasta
feki
ambae
hivi
sasa
yupo
ibadani
Maisha
yake
hayaendi
poa
Aliyemtamani
amemtapeli
Mimba
alifaulu
kuitoa
Ila
ukimwi
amefeli
[Chorus
–
I'm
sitting
in
my
room
Thinking
back
on
you,
memories
high
I'm
sitting
in
my
room
Thinking
back
on
you,
memories
high
[Verse
3 –
Kizuri
daima
hakidumu
Shida
kitaletewa
Suluhu
sio
kunywa
sumu
Wherever
anaenielewa
Ye
nini
maisha
magumu,
kila
kitu
amepewa
Ukimwi
hatoulaumu
kwa
biashara
ya
mwili
Sewa
Masikini
na
vibopa
ye
anawapa
mdudu
wa
karne
Kama
hauna
leo
unakopa,
ye
kwake
mteja
ni
mfalme
Panda
usiku,
panda
mchana
ukihitaji
mwezini
sana
Jeneza
hofu
urefu,
nishaukadiria
upana
Wa
msichana
Vidume
vinapangwa
toka
Ukonga
hadi
ubungo
Msichana
anatwangwa
na
kupetwa
kama
ungo
Msiogope
kuzichanga
anauza
bei
nafuu
Kashayavuka
tai
ya
Langa,
matawi
ya
juu
Kashaipoteza
dira,
life
gumu
aliopitia
linamtia
hasira
Future
amemaliza,
malengo
hayajajatimilika
Kifo
amebakiza,
najiuliza
kesho
itafika
ni
patashika
[Chorus
– Grace
Matata]
x3
I'm
sitting
in
my
room
Thinking
back
on
you,
memories
high
I'm
sitting
in
my
room
Thinking
back
on
you,
memories
high
![Stereo - Rafiki](https://pic.Lyrhub.com/img/1/_/_/i/f4li7mi__1.jpg)
Внимание! Не стесняйтесь оставлять отзывы.