Stereo - Nitabaki Juu текст песни

Текст песни Nitabaki Juu - Stereo



Duke niwashie kinasa
Watoto wananozingua
Acha niwatie vitasa uone ntakavyowapasua
Haina kukenua, haunijui ama unanijua
Machizi wanantambua na siku izi nawakamua
Me ni chuma cha pua
Mtoto wa mtaa vpodozi sipaki ngozi yangu black kam mkaa
I'm original ni truth
Buth nanuka damu
Mjanja town mpaka bush, Kush pokea salamu
Bongo wana mimba za rhymes zinazaliwa stanza
Nna usongo kama simba dume
Jitume uzichume kwanza
Kidume narusha stone limfume aliejibanza
Puna nkupune msukuma msukume arudi Mwanza
Njoo kwa Shari njoo kwa peace hata siogopi
Inashangaza wale wanao ni dis ndo wale wale wanao ni kopi
Nawa scratch kam STVP kwenye RP
Na nisipo chana Mimi whom you think would be
Wanataka nizikwe sanda nivikwe nifikwe mauti
Acha nigadhibike stanza niandike isikike sauti
Praying I thanks Lord hauwez kupambana
Nachana unachanwa sana ndomana una get blow



Авторы: Stereo


Stereo - African Son
Альбом African Son
дата релиза
01-06-2015




Внимание! Не стесняйтесь оставлять отзывы.