Tunda Man - Demu Sio текст песни

Текст песни Demu Sio - Tunda Man



(A-AM Records)
Jack Wolper au Shilole (sio, sio, sio)
Wema Sepetu au Lulu (sio, sio, sio)
Rose ndauka au Hamisu (sio, sio, sio)
Tafadhari nambie (mwenzenu vya maji imekuwa hadithi, eh)
Mtoto mzuri ana umbo zuri la kuvutia
Ana macho mazuri wenzake wanamsifia
Ana mwendo wa madaha hata miss amesingiziwaa
Ila tabia zake hizo zimemuharibia
Umalaya, kutwa kucha, kutwa kucha hata kivipi hasikii
Anawaza wanaume maisha wala hafikirii
Dada aliefunzwa hawezi kuwa namna hii
Eti! Anachagua sitaki ile, nataka hii
Amepigwa picha za uchi kwa pombe za kudandia
Eti, nae ana bwana mpaka gari kamnunulia
Kweli mapenzi upofu mwenzetu ana macho ya bandia
Mi' sitaki dem muigizaji naona ananiaktia
Mbona anasema kaopoa, ah
Mbona anasema kauvaa, ah
Mbona anasema kaopoa, ah
Mbona anasema kauvaa, ah
Nasema mzomeeni (huyo, huyo, huyo)
Nasema mzomeeni (huyo, huyo, huyo)
Nasema mzomeeni (huyo, huyo, huyo)
Nasema mzomeeni (huyo, huyo, huyo)
Alianza kuwa kimchezo kumbe iyo trick tu
Awapate wenye penny ndio hawataki mazumbukuku
Kashiriki na umiss kumbe gear ya kuwapata
Namuonea huruma dogo Mbaya kamkamata
Ukimuona alivyopendeza utamtamani
Utatamani awe mkeo umuweke ndani
Muulize kilichomkuta Seif Shabani
Milioni sita imekatika kafungiwa ndani
Jack wolper au Shilole (sio, sio, sio)
Wema sepetu au Lulu (sio, sio, sio)
Rose ndauka au Hamisu (sio, sio, sio)
Tafadhari nambie (mwenzenu vya maji imekuwa hadithi, eh)
Mbona anasema kaopoa, ah
Mbona anasema kauvaa, ah
Mbona anasema kaopoa, ah



Авторы: Tunda Man


Tunda Man - Demu Sio
Альбом Demu Sio
дата релиза
01-06-2016




Внимание! Не стесняйтесь оставлять отзывы.