Tunedem Band - Mbele Ninaendelea текст песни

Текст песни Mbele Ninaendelea - Tunedem Band



Mbele Nina Endelea ninazidi kutembea
We Bwana Maombi uyasikie
Ee Bwana unipandishe
Eeh Bwana uniinue kwa Iman
Nipande Milima yote
Eh Bwana Unipandishe
Nisikae duniani ni Mahal PA shetani
Natazamia mbinguni nitafika kwa Iman
Nisikae duniani ni mahali PA shetani
Natazamia Mbinguni nitafika kwa Iman
Nataka nipandishwe juu zaidi ya eeh mawingu
Nitaomba nifikishwe
Ehh Bwana unipandishe
Sina taman nikae Mahal PA Shaka kamwe
Hapo wengi wanakaaa kuendeleaaa ninaomba




Tunedem Band - Behold
Альбом Behold
дата релиза
02-03-2018




Внимание! Не стесняйтесь оставлять отзывы.