Wini - Usinijaribu текст песни

Текст песни Usinijaribu - Wini

Chozi la furaha mpaka nashangaa linatoka,
Dukuduku kifiani lilonisumbua mimi linatoka, kwani hisia ziliniumiza,
Kwenye moyo wangu, nabaki nalia nalia oaoah,
Na tena niliona kiza eeh mola wanguu mapenzi balaa balaa oaoah
Nilipiha magoti nkaota sugu kwenye miguu kubembeleza mapenziii,
Nikamuonga onga nkatoa pesa kwenye vibubu ila kupendwa sipendwii
Nishaumwa na nyoka mwenzako naogopa
Majani, nisije nikakupa moyo wangu ukaeka lehani
Usinijaribu
Danganya toto sitaki usinijariiibu usinijaribu
Usinijaribu
Danganya toto sitaki usinijariiibu usinijaribu
Usinipetipeti nikazama mazima nikashindwa kutoka mwisho ukaniacha
Nalia, usinidanganyeee usinichanganyee unifanye kilema wa penzi
Magongo uyashike wewe,
Nijibanebane (aiyaaah) furaha upate weee
(Aiyaaah) unifanye ka fisi mifupa, nyama unakula wewe.
Nilipiha magoti nkaota sugu kwenye miguu kubembeleza mapenziii,
Nikamuonga onga nkatoa pesa kwenye vibubu ila kupendwa sipendwii
Nishaumwa na nyoka mwenzako naogopa
Majani, nisije nikakupa moyo wangu ukaeka lehani
Usinijaribu
Danganya toto sitaki usinijariiibu usinijaribu
Usinijaribu
Danganya toto sitaki usinijariiibu usinijaribu

Wini - Usinijaribu
Альбом Usinijaribu
дата релиза
12-07-2019

Еще альбомы
Исполнитель Wini, альбом Popote
2021
Исполнитель Wini, альбом I Do
2021
Исполнитель Wini, альбом Mandingo
2020
Исполнитель Wini, альбом Umenishika
2020
Исполнитель Wini, альбом Ado
2019
все альбомы

Внимание! Не стесняйтесь оставлять отзывы.