Zuchu - Nyumba Ndogo текст песни

Текст песни Nyumba Ndogo - Zuchu



Ooh! Ooh! Nkupe
Taarifa Mwenzangu
Uuh Uh!
Yamenifika Kwa
Koo! We Mwanamke
Mwenzangu Uh! Uh!
Sema Ooh! Ooh!
Nkupe Taarifa
Mwenzangu Uh! Uh!
Yamenifika Kwa
Koo! We Mwanamke
Mwenzangu Uh! Uh!
Bwana Ako Analalamika
Kila Akija Nyumbani
Eti Hujui Kupika
Kula Kwako Hatamani
Kwangu Kalipenda Tembele
Toto Laini Laini
Shoga Umenyimwa Upole
Tajiri Wa Kisirani
Na Samahani
Samahani Mwanzoni
Sikujitambulisha Mimi Nani...!
Mie Ndo Mke Mwenzio
A.K.A Nyumba Ndogo
Tena Nimemganda Mumeo
Kama Kichwa Na Kisogo
Sina Ubaya
Sina Ubaya Nawe
Aaah! Ukinichukiaa...
Wanionea Bure
Aah!
Sina Ubaya
Sina Ubaya Nawe
Mke Mwenza Ukinichukiaa...
Wanionea Bure
Ooh!
Sina Ubaya
Sina Ubaya Nawe
Aah! Mwenza Ukinichukiaa...
Wanionea Bure
Ooh! Nasema
Mnyonge Mnyongeni
Haki Yake Mpeni
Mke Mwenza Unanifaa...
Mie Nikiwa Mwezini
Kwangu Haiwezekani
Kwako Bwana Anakaa...
Mambo Kusaidiana
Wala Usihuzunike
Siku Hizi Kushare
Mabwana Ndo Fashion
Kwa Wanawakee...
Jitahidi Chunga Sana
Mwenzangu Usiachike
Sina Ubaya
Sina Ubaya Nawe
Aaah! Ukinichukiaa...
Wanionea Bure
Aah!
Sina Ubaya
Sina Ubaya Nawe
Aaah! Ukinichukiaa...
Wanionea Bure
Aah!
Sina Ubaya
Sina Ubaya Nawe
Mke Mwenza Ukinichukiaa...
Wanionea Bure
Ooh!
Sina Ubaya
Sina Ubaya Nawe
Aah! Mwenza Ukinichukiaa...
Wanionea Bure
Ooh! Nasema
Mnyonge Mnyongeni
Haki Yake Mpeni
Mke Mwenza Unanifaa...
Twendee Nachie
Nachie Nachie
Nachie Nachie
Huu Mchezo Wa Kichina
Zungusha Kiuno Cheko
We Kichina Zungusha Kiuno Cheko
Kama Shepu Huna
Pambana Na Hali Yako
Kama Huna Pambana Na Hali Yako
Nasema Masha Zungusha
We Zungusha
Sasa Wanjala Zungusha
We Zungusha
Khadija Kopa Zungusha
We Zungusha
Mama Dangote Zungusha
We Zungusha
Mama Aah! Aah!
Aah! Aah! Aah!
We Kama Mzuka Umepanda
Twende Mpaka Chini
Eti Nani Sijamtaja
Aje Acheze Na Mimi
Na Kama Mzuka Umepanda
Twende Mpaka Chini
Eti Nani Sijamtaja
Aje Acheze Na Mimi
Twende Changamkeni
Changamkeni Changamkeni
Apo Kati Changamkeni
Changamkeni Changamkeni
Mamaaaaa Haaaa
Twendee Nachie
Nachie Nachie
Nachie Nachie
Nasema Aii Mama
Aii Mama Aii Mama
Aii Mama Wee!
Andaa Besee
Andaa Besee
Andaa Besee
Andaa Besee
Twende
Mama
Andaa Besee
Andaa Besee
Andaa Besee
Andaa Besee
Twende
Utajijua Mwenyewe
Utajijua Mwenyewe
Utajijua Mwenyewe
Utajijua Mwenyewe
Kamix Lizer




Zuchu - Nyumba Ndogo - Single
Альбом Nyumba Ndogo - Single
дата релиза
15-06-2021




Внимание! Не стесняйтесь оставлять отзывы.