King Kaka - Iko Sawa текст песни

Текст песни Iko Sawa - King Kaka



Ayee, volume iko sawa sawa, Ayee
Ayee, volume iko sawa sawa, Ayee
Ayee, volume iko sawa sawa, Ayee
Ayee, Usiambiwe a different story manze (Okay)
Vile inaji-conduct, kubwa, it must be class
Si uliskia kulivurugwa then trust me it must be us
Na mother alini-show hii gift sometimes hu-come na curse
So big up to all the haters wana-confuse hate na love
Stop it with the BS bado na cut it kama CS
Niko na catalogue over the board sio game hii sio PS
Bloggers wana-talk shit, rapper hawatoshi
Kila saa out of topic asante akina Toshi
Na sai rhymes huskii mi naseti, meza na msosi
Nikiwa present wanachora giza, nikibonga wanaskiza
Salute kwa wale wameni-hold down tangu siku za bangaiza
Is a celebration basi tuingie kiza
Ka ni taa na basi washa washa (Ayee (It must be us)
Volume iko sawa sawa (Ayee (It must be us)
Taa na basi washa washa (Ayee (It must be us)
Volume iko sawa sawa (Ayee (It must be us)
(Ayee (It must be us)
Iko, iko, iko sawasawa (Ayee)
Iko, iko, iko sawasawa (Ayee)
Iko, iko, iko sawasawa (Ayee)
Iko, iko, iko sawasawa (Okay, whoo, Ayee)
Usiambiwe a different story manze (It must be us)
Bado amenikonya kwa rap, amenizaa straight up facts
From bedsitter ya Ololo to same track na Kass
Same room na puff, waki-puff puff na pass
Nightshift ka wochi nikitafuta ma-cash
Maunjanjez m-smooth pia kwa malavida
Nimejipanga kama adidas, pesa iko agiza
Maninja wamekunja madiva, wengi wako sativa
Schedule iko tight yaani virgin kando
Just the other day was with Naomi Campbell
They payed me to party, first flight kesho to Tokyo
Playlist iko extended kama mapua ya Pinokio
Shakespear Odi jo na rende iko dongogio
Ka ni taa na basi washa washa (Ayee (It must be us)
Volume iko sawa sawa (Ayee (It must be us)
Taa na basi washa washa (Ayee (It must be us)
Volume iko sawa sawa (Ayee (It must be us)
(Usiambiwe a diff story)
(Usiambiwe a diff story)
(Usiambiwe a different story manze)
Iko, iko, iko sawasawa (Ayee)
(Volume iko sawa) Iko, iko, iko sawasawa (Ayee)
Iko, iko, iko sawasawa (Ayee)
(Volume iko sawa) Iko, iko, iko sawasawa (Ayee)
Iko, iko, iko sawasawa (Ayee)
(Volume iko sawa) Iko, iko, iko sawasawa (Ayee)
Iko, iko, iko sawasawa (Ayee)
Sawasawa, sawasawa, sawa, aah (Ayee, whoo)



Авторы: Kennedy Otieno Ombima


King Kaka - The Servant & the King
Альбом The Servant & the King
дата релиза
20-03-2020




Внимание! Не стесняйтесь оставлять отзывы.