Nelly-Music - Ku-deal na Mimi Songtexte

Songtexte Ku-deal na Mimi - Nelly-Music




Mara nyingi tumeamini
Yakua maisha yetu
Yana adui
Anaetufanya sisi tukafeli
Anaetupotosha kwenye hii kweli
Tunaamini huyo ni adui
Na wala si mwingine ni ibilisi
Tumebweteka mawazo nayo akili
Tumemtupia lawama na kila kesi
Ila ukipiga goti kusali
Mara papo Roho atasemezana nawe
Kwenye kioo utamuona mtu wa ndani
Na utasikia Roho akisemezana nae
Neno latusihi tujifix from the heart
Change your minds
Thats where you start
Adui wa kwanza ni mimi
Nina kasoro ndani
Nijichunguze nifanye usafi
Neno latusihi tujifix from the heart
Change your minds
Thats where you start
Adui wa kwanza ni mimi
Nina kasoro ndani
Nijichunguze nifanye usafi
Kudeal na mimi
Nimeamua Kudeal na mimi
Kudeal na mimi
Nimeamua Kudeal na mimi
Yule nimuonae kwenye kioo
Mwenye akili,nafsi,mwili na Roho
Kudeal na mimi
Nimeamua Kudeal na mimi
Nifungue macho nione uovu ndani yangu
Nikemee yangu kama nnavyo ya wenzangu
Nisione aibu kuface makosa yangu
Hata kama ninalijua mi peke yangu
Nipende rafiki yangu kama nafsi yangu
Nimpe kutoka moyoni,nnacho taka kwangu
Niwish the best for them as if nnawish kwangu
Nifanye kwako kama ni kwangu
Tunda la Roho liwe langu
Nisisahau kiasi hio pia ni ya kwangu
Nisishike nane tisa nkawaachia wenzangu
Nisihubiri wema wakati haupo ndani yangu
Tunda la Roho liwe langu
Nisisahau kiasi hio pia ni ya kwangu
Nisishike nane tisa nkawaachia wenzangu
Nisihubiri wema wakati haupo ndani yangu
Kudeal na mimi
Nimeamua Kudeal na mimi
Kudeal na mimi
Nimeamua Kudeal na mimi
Yule nimuonae kwenye kioo
Mwenye akili,nafsi,mwili na Roho
Kudeal na mimi
Nimeamua Kudeal na mimi
Nililia na kuumia na kulaumu
Mara nyingi
Nilisikia na kuamini
Adui ni wao wala sio mimi
Nilijitukuza nakujiamini
Nakudhani sahihi ni mimi
Nikajikubali nakukua hivyo
Muda ukapita hali ndivyo sivyo
Lakini Bwana kanipa Neema
Kafungua macho nikaona kwamba
Adui wa kwanza
Aweza kua mimi
Akanifundisha nibadili kipi
Nitakua rafiki nikianza na mimi
Nitakuponya wewe nikipona mimi
Maana siwezi leta mabadiliko
Kama badiliko ndani yangu halipo
Nitakua rafiki nikianza na mimi
Nitakuponya wewe nikipona mimi
Maana siwezi leta mabadiliko
Kama ndani yangu badiliko halipo
(Oh oh oh oh oh oh oh)
Oh oh oh oh oh oh oh oh oh
(If you wanna change)
(Oh oh oh oh oh oh oh oh)
Oh oh oh oh oh oh oh oh oh
(Kwa mabadiliko)
(Oh oh oh oh oh oh oh oh)
Oh oh oh oh oh oh oh oh oh
(Tajirekebisha)
(Oh oh oh oh oh oh oh)
Oh oh oh oh oh oh oh oh oh
(Naanzaa na mimi)
(Oh oh oh oh oh oh oh)
Oh oh oh oh oh oh oh oh oh
(Naanza na mimi)
(Oh oh oh oh oh oh oh)
Oh oh oh oh oh oh oh oh oh
(Ndani yangu)
(Oh oh oh oh oh oh oh oh oh)
Oh oh oh oh oh oh oh oh oh
Najua ni ngumu
(Oh oh oh oh oh oh oh)



Autor(en): Nelson Mugarula


Nelly-Music - Mhamiaji
Album Mhamiaji
Veröffentlichungsdatum
10-04-2025




Attention! Feel free to leave feedback.
//}