Songtexte Waite - Nelly-Music
Uuuh
Uuuh
Asubuhi
nyingine
umeiona
U
heri
wa
afya
umepona
Eti
kesho
hutafika
walisema
Kumbe
Bwana
Yesu
anakuona
Eti
kiburi
ndio
wanachoona
Una
vimbavimba
unajiona
Hawajui
Bibilia
waisoma
Nyuma
ya
pazia
goti
walipiga
sana
Nina
kwambia
tena
usione
napendeza
Ni
Yesu
(Ni
Yesu)
Tena
nakukaribisha
kushupaza
shingo
acha
Kwa
Yesu
(Kwa
Yesu)
Tumeitwa
kushuhudiana
wala
sio
kubishana
Ndugu
yangu
(Ndugu
yangu)
Hivyo
chuki
weka
kando
Twende
tupige
gombo
Mwenzangu
(Mwenzangu)
Aya
sasa
waite
waite
(Waite
waite
waje
waone)
Waite
waje
wajionee
(Waite
waite
waje
wajionee)
Kwa
macho
yao
wenyewe
(Waite
waite
waje
waone)
Alionitendea
mie
(Waite
waite
waje
waone)
Aya
sasa
waite
waite
(Waite
waite
waje
waone)
Waite
waje
wajionee
(Waite
waite
waje
waone)
Kwa
macho
yao
wenyewe
(Waite
waite
waje
waone)
Alionitendea
mie
(Waite
waite
waje
waone)
Ulivoteseka
wakumbuka
Walivokucheka
moyo
ukashuka
Ulowategemea
wakasepa
Ukaomba
nafasi
hawakupa
Muda
kidogo
mambo
yakajipa
Aliekuumba
kaitika
Kaitikia
kilio
cha
moyo
Akajibu
maombi
bila
choyo
Majeraha
ya
moyo
akaponya
Na
company
mbaya
kakuonya
Utu
wa
zamani
upya
kaufanya
Sasa
naonekana
jitu
lenye
maana
Ninakwambia
tena
Ninatamani
kuvimba
ila
Yesu
(Ila
Yesu)
Tena
nikumbushie
walivonitenda
mie
Ila
Yesu
(Ila
Yesu)
Amenibadilisha
majivuno
nasitisha
uyu
Yesu
(Uyu
Yesu)
Mimi
nitakuficha
sitokuaibisha
ndugu
yangu
(Ndugu
yangu)
Ninakwambia
tena
Usione
napendeza
ni
Yesu
Uuuuh
Tena
nakukaribisha
Kushupaza
shingo
acha
Njoo
kwa
Yesu
Uuuh
Aya
sasa
waite
waite
(Waite
waite
waje
waone)
Waite
waje
wajionee
(Waite
waite
waje
waone)
Kwa
macho
yao
wenyewe
(Waite
waite
waje
waone)
Alionitendea
mie
(Waite
waite
waje
waone)
Aya
sasa
waite
waite
(Waite
waite
waje
waone)
Waite
waje
wajionee
(Waite
waite
waje
waone)
Kwa
macho
yao
wenyewe
(Waite
waite
waje
waone)
Alionitendea
Uyu
Yesu
(Waite
waite
waje
waone)
Aya
sasa
waite
waite
(Waite
waite
waje
waone)
Waite
waje
wajionee
(Waite
waite
waje
waone)
Kwa
macho
yao
wenyewe
(Waite
waite
waje
waone)
Alionitendea
mie
(Waite
waite
waje
waone)
Aya
sasa
waite
waite
(Waite
waite
waje
waone)
Waite
waje
wajionee
(Waite
waite
waje
waone)
Kwa
macho
yao
wenyewe
(Waite
waite
waje
waone)
Alionitendea
uyu
Yesu
(Waite
waite
waje
waone)

1 Home (Bonus)
2 Outro
3 Hatua
4 Waite
5 Malenga
6 Mhamiaji
7 Wasiwasi
8 Nioshe
9 Ku-deal na Mimi
10 Pamoja Nasi
11 Interlude
12 Kimya
13 Tofauti
14 Excited
Attention! Feel free to leave feedback.