Lyrics Mwana - ALIKIBA
Mali
ni
nyingi
nyumbani
kipi
kimekukimbiza
Ona
babio
mamio
wote
wanakulilia
Mtoto
peke
yako
nyumbani
kipi
kimekukimbiza
Ona
babio
mamio
wote
wanakulilia
Ndani
ya
Dar
es
Salaame
Ulikuja
bure
Tena
kimwana
kimwana
hujui
Kuchuna
Nazile
lawama
za
wale
waliokuzoweza
Ulikuja
jana
na
leo
tofauti
sana...
Tena
Bora
yule
wa
Jana,
wa
leo
tofauti
sana
Dakika
mbili
mbele
nyuma
kichwa
kinauma
Tena
Bora
yule
wa
Jana,
wa
Jana
leo
wa
Jana
Dakika
mbili
mbele
nyuma
kichwa
kinauma
Mbona
unawatesa
sana
Omamee
omamee
omamee
yaya
mamee
Omamee
omamee
omamee
yaya
mamee
Mbona
unawatesa
sana
Omamee
omamee
omamee
yaya
mamee
Omamee
omamee
omamee
yaya
mamee
Ukaanza
kulewa
madawa
kuvuta
kwa
sana
Ndani
ya
Dar
es
Salaam
mambo
mataam
Hayakukuisha
We
bado
mtoto
kwa
mama
hujayajua
mengi
Mwenda
tezi
na
omo
marejeo
ngamani
Amesema
sana
mama
dunia
tambara
bovu
Kuna
asali
na
shubiri,
ujana
giza
na
nuru
We
mwana
wewe
mwana,
mwana
jeuri
sana
Ulichokifuata
huku
pata,
umekosa
ulivyoacha
Kwa
baba
yako
mwana,
na
mama
yako
mwana
Kwa
vichache
ulivyo
vitaka,
nivingi
ulivyoacha
Mbona
unjitesa
sana
Omamee
omamee
omamee
yaya
mamee
Omamee
omamee
omamee
yaya
mamee
Mbona
unawatesa
sana
Omamee
omamee
omamee
yaya
mamee
Omamee
omamee
omamee
yaya
mamee
Right,
Man
Walter
Chiks
vallo,
combinenga
Pertio
loso
guitar
Unaleta
lawama,
wewe
unaleta
lawama
Unaleta
lawama,
wewe
unaleta
lawama
We
mwana
uwooo
Uchungu
wa
mwana
aujuae
mzazii
Siku
zote
milele
Analiaaa
ooh
Kutwa
nzima
analalama
iyee
Obaba
mama
yakoo
We
mwana
rudieee
Watafurahi
wakikuona
Umerejea
salamaa
Omamee
omamee
omamee
yaya
mamee
Omamee
omamee
omamee
yaya
mamee
Omamee
omamee
omamee
yaya
mamee
Omamee
omamee
omamee
yaya
mamee
Attention! Feel free to leave feedback.