ALIKIBA - Namzimia Lyrics

Lyrics Namzimia - ALIKIBA



BELLA
Ukimwona, kapendeza,
Si utafikiri katokea mbinguni,
Ni mtoto mkali,
Kaumbika mama,
Nahisi kama nishwahi kumuona,
(Kafanana na nani, kwani ni nani ii dem fulani, kama namjua)×2
Kiba wewewe yeyeye e, ie
Ali weyeye, ie, kama namjua
Kiba wewewe, unamjua huyu dem
(Di di di di)×2 deem
Iyeyeye (iye)×3 iyee
Iyeyeye, iyeyoooh, iyeyoooooh
KIBA
Namwona tu kasura
Kazuri, ni binti fulani eh,
Marashi mazuri na gari kali eeh,
(Ni kweli amependeza kama ni hulaini, mimi ni dem wangu, huyo ninagharamia ×2)
Bella wewewewe ooh,
We ni vipi wewewewev,
Ninagharamia,
Bella wewewewe unamjua huyu dem
(Tiri di di ×2)
BELLA
Ololo
Nashindwa kuvumilia, huyu mtoto kanipagawisha,
Kila nikikutana naye,
Moyo wangu anadundadunda,
Nataka tu kujuana naye,
Awe kama rafiki wangu,
Labda moyo wangu atatulia tilii
KIBA
Bella siachi rana kwa ubishi,
Na mvumilivu hula mbivu,
Nimeshamaliza ng'ombe nzima
Kabaki mkia huyo,
Oh mama azali, azaliii, azali mwa si kitoko oh
Meyifo balula ye, oya
Zali na bote naye,
(BELLA) azali mwa si kitoko, oh balula ye
(KIBA) kuteka na ngai ye mwasi na ngai, iye iye
(BELLA) oye zali na mutema yeye
(KIBA) na lingio lingio mutema nga
(BELLA) ngana sengi tobina mama
BELLA
Katee, katee (kate), katika kata
(Kata) kate katee
KIBA
Yako kata loketo mama
BELLA
Yako katika, yaka katika
KIBA
Yaka tobina mabina mboka,
KIBA
Aaaah, mabina, mboka, yaki kata loketo mama ah ahh
Iye iye iye (iye)
Iyeyoyoyo, iyooooooah



Writer(s): Unknown


ALIKIBA - Cinderella
Album Cinderella
date of release
31-08-2009




Attention! Feel free to leave feedback.