ALIKIBA - Cinderella Lyrics

Lyrics Cinderella - ALIKIBA



Jamaniii mi nataka saule kama
Mapenzi gorofa yamejaa Kariakoo
Mi nna mapenzi tele kama kwetu kule
Wanao nitaka ni wengi ila kwako
Nyang'a nyang'a nyang'a
Nini unataka mi nina miujiza nini
Unataka
Ama ni maji ya bluelight sema nini
Unataka
Nikugeuze Princess sema nini unataka
Unavyo biringa bayondo hivyo mi ndo
Nataka taka sana natakaa
Nini unataka mi nina miujiza nini
Unataka
Nikugeuze Princess sema nini unataka
Siamini yaani siamini yamenipanda
Kichwani mahaba ya kuota sinitimi
Yamenikoleza mwilini
Siamini ooh siamini yamenipanda
Kichwani mahaba ya kuota sinitimi
Yamenikoleza mwilini
Aya chekecha
Chekecha Aya chekesha cheketua cheke
Chekecha cheketua cheke chekesha
Cheketua cheke chekesha cheketua
Cheke
Masia Uluso kitaa Abu Daddy
Penzi alinipa mama nami leo nakupatia
Tena sitaki lawama penzi kiapo hakuna
Mi ntakupenda sana mpaka wivu
Utakimbia nami ntalia na wewe mimi
Kwako nyang'a nyang'a nyang'a
Nini unataka mi nina miujiza nini
Unataka
Ama ni maji ya bluelight sema nini
Unataka
Nikugeuze Princess sema nini unataka
Unavyo biringa bayondo hivyo mi ndo
Nataka taka sana natakaa
Nini unataka mi nina miujiza nini
Unataka
Nikugeuze Princess sema nini unataka
Siamini yaani siamini yamenipanda
Kichwani mahaba ya kuota sinitimi
Yamenikoleza mwilini
Siamini ooh siamini yamenipanda
Kichwani mahaba ya kuota sinitimi
Yamenikoleza mwilini
Aya chekecha
Chekecha Aya chekesha cheketua cheke
Chekecha cheketua cheke chekesha
Cheketua cheke chekesha cheketua
Cheke
Yeah uuh cheke chekecha aah heyiiii



Writer(s): Unknown


ALIKIBA - Cinderella
Album Cinderella
date of release
31-08-2009




Attention! Feel free to leave feedback.