ALIKIBA - My Everything Lyrics

Lyrics My Everything - ALIKIBA



Ilikuwa usiku wa jana asubuhi ilipoamka
Nikajikuta na furaha isiyo kifani
Kidogo nilistuka simu ilipoita,
Niliipokea nikasikia analia
Akashindwa hata kuongea
Nikahisi msiba ndio umefika
Akauliza umelala ooh baby nalia na mola
Nishateswa sana na penzi, nakosa hata raha
Nahisi vibaya, naona nakupenda sana
Uuh baby you're my everything my everything
Kila nachofanya kwa ajili yako my everything
Hatakama me sina
You're my everything my everything
Kupendana kwa sana
You're my everything my everything
You're my everything,my everything
You're my Everything
She's my everything
You're my everything my everything
My everything my everything
Kweli anavyojiona kama yupo paradise
Anasikia raha, mwili wake nikiushika
Haitaji stress tena, anataka tu furaha
Na me mwendo ule ule, sitaki mwangusha
Maumivu hataki tena
Ooh baby hutojuta kupenda
Hata mimi mapenzi
Ooh baby yashanitesa sana
We lia na mola
Walimwengu wakiweka husuda
Mchana nalala usiku nafanya ibada
Uuh baby you're my everything my everything
Kila nachofanya kwa ajili yako my everything
Hatakama me sina
You're my everything my everything
Kupendana kwa sana
You're my everything my everything
You're my everything my everything
My everything you're my everything my everything
You're my everything my everything
You're my everything my everything
You're my everything my everything
La mujer de mivida we kila kitu
You're my everything my everything
You're my everything my everything
You're my everything my everything
You're my everything my everything



Writer(s): Alikiba


ALIKIBA - So Hot
Album So Hot
date of release
16-09-2020




Attention! Feel free to leave feedback.