ALIKIBA - Kufosi Mapenzi Lyrics

Lyrics Kufosi Mapenzi - ALIKIBA

Eey heey uuuh uuh 3
Sikatai yule muonesha wivu ndio mwenye mapenzi ya ukweli kwa mwenza
Lakini pia uvumilivu na vitendo vya karaha vili muumiza mwenzio mimi mtulivu na kuiba Mali ya mtu sijafunzwa ona dhambi lawama ulizonipa mimi leo inaniuma fikira zako ziko vibaya kwa kudhani kwamba yule demu nli mpenda ni kweli nilimpenda lakini ni kama rafiki wake maah hayo ulio fanya leo ikifika kesho utajibu nini kiama
Kwa yale yote mapendo ni kama kioo aliyokupa niliyaona
Ukadhani anakusaliti kutoka kwako na kuwa mimi na yeye mimi na yeye kutokana na wako wivu uka giriki kumuacha ajiue kwanini kwanini why unatema bigijii kwa karanga za kuonjeshwa unajua mwanamke akipenda huwa kapenda kweli
MAPENZI YANA RUN DUNIA 2
MAPENZI YANA RUN DUNIA 2
FEEL FREE TO LOVE2
Wajua kuna walio badilisha dini hiyo yote sababu ya kupenda na kuna walio kimbia hii dunia hiyo yote sababu hiyo hiyo kupenda yule alikupenda sana najua kuna mambo mengi alifanya kwako
Best wangu nlimpenda ukifanya mpaka sasa kajiua fikira zako ziko vibaya kwa kudhani kwamba yule dem nlimpenda ni kweli nilimpenda lakini ni kama rafiki yakeyake maah hayo ulio fanya leo ikifika kesho utajibu nini kiama
Kwa yale yote mapendo ni kama kioo aliyokupa niliyaona
Ukadhani anakusaliti kutoka kwako na kuwa mimi na yeye mimi na yeye kutokana na wako wivu uka giriki kumuacha ajiue kwanini kwanini why unatema bigijii kwa karanga za kuonjeshwa unajua mwanamke akipenda huwa kapenda kweli
MAPENZI YANA RUN DUNIA 2
MAPENZI YANA RUN DUNIA 2
FEEL FREE TO LOVE2
Eheeh ehe heheeeh
Feel free to love
END

Writer(s): Unknown

ALIKIBA - Cinderella
Album Cinderella
date of release
31-08-2009

Attention! Feel free to leave feedback.