Asake - Kanipe Lyrics

Lyrics Kanipe - Asake



Kama tambara mbovu
Lililotupwa mchangani eeh
Kudharauliwa kutotambuliwa
Na yeyote
Ndivo nilikuwa wakati mmoja
Maishani mwangu
Ila Mungu mwenyewe
Kaniokota na kunibadili eeh
Kama tambara mbovu
Lililotupwa mchangani eeh
Kudharauliwa kutotambuliwa
Na yeyote
Ndivo nilikuwa wakati mmoja
Maishani mwangu
Ila Mungu mwenyewe
Kaniokota na kunibadili eeh
Umeniokoa kanipa amani Yahweh
Ukanipa sauti nikuimbie nashukuru
Umenipa kibali na kuniketisha nao wafalme
Umetenda yote si kwa wema wangu
Ila kupenda kwako
Umeniokoa kanipa amani nalo tumaini
Ukanipa sauti nikuimbie Baba nashukuru
Umenipa kibali na kuniketisha nao wafalme
Umetenda yote si kwa wema wangu
Ila kupenda kwako
Instruments
Umeniandalia meza machoni pa watesi wangu
Umenipigania kanipa ushindi Baba eeh
Ningelikuwa mwenyewe singeweza jitetea
Niseme nini Baba, ni kupenda kwako
Wewe umeniandalia meza machoni pa watesi wangu
Umenipigania kanipa ushindi Baba eeh
Ningelikuwa mwenyewe singeweza jitetea
Niseme nini Baba, ni kupenda kwako
Ni kupenda kwako tu
Ni neema yako tu
Ni kupenda kwako tu
Ni neema yako tu
Ni kupenda kwako tu
Ni neema yako tu
Ni kupenda kwako tu
Ni neema yako tu
Ni kupenda kwako tu
(Eh Baba)
Ni neema yako tu
Ni kupenda kwako tu
(Ni neema yako)
Ni neema yako tu
Ni kupenda kwako tu
(Sio kwa wema wangu)
Ni neema yako tu
Ni kupenda kwako tu
(Uhai umenipa)
Ni neema yako tu
Ni kupenda kwako tu
(Sio kwa wema wangu
Ni neema yako tu
Ni kupenda kwako tu
(Bali nashukuru)
Ni neema yako tu
Ni kupenda kwako tu
(Bali nashukuru)
Ni neema yako tu
Ni kupenda kwako tu
(Eh Baba)
Ni neema yako tu



Writer(s): Asake


Asake - Kanipe
Album Kanipe
date of release
26-02-2019

1 Kanipe




Attention! Feel free to leave feedback.