Lyrics Mateka - Aslay
Ooh
mama
yeah,
ooh
mama
yeah
Yeah
yeah
Kanilambisha
limwata
Nisikule
Nahisi
kama
nadata
eeh
Msukule
eh
Na
moyo
wangu
unawasha
Upelee
Napuliza
nakung'ata
eeh
Panya
buku
Upendo
umevuka
kina
Nina
wivu
mpaka
roho
inauma
Iwe
Japan
au
China
Weka
gundi
baby
tutagandana
eh
Supu
ukitia
nazi
utaharibu
Kidole
niweke
pete,
tuwe
karibu
Kisha
tukawasalimu
Bibi
na
babu,
babu
babu
babu
Watupikie
mihogo
Tunywe
mbege
Tukacheze
sindimba
Ndege
limetua
kwenye
mti
wangu
Nimetekwa
mateka(Ah
Ah
Ah),Nimetekwa
mateka
Nimeridhika
hayuni
wangu
Nimetekwa
mateka(Ah
Ah
Ah),Nimetekwa
mateka
Mlango
nimepata
kufuli
wee
Nimetekwa
mateka(Ah
Ah
Ah),
Nimetekwa
mateka
Hapa
mwisho
wa
ujeuri
yee
Nimetekwa
mateka(Ah
Ah
Ah),
Nimetekwa
mateka
Ndoto
yake
ilikuwa
kunipata
Alivyonipata
sindo
akanipa
Alivyonipa
nikashangaa
nadata
Nikazama
mazima
Wa
kwangu
mwenyewe
Huyu,
huyu,
huyu,
huyu
Nimempenda
mwenyewe,
Huyu,
huyu,
huyu,
huyu
Wa
kwangu
mwenyewe
mwenyewe
Huyu,
huyu,
huyu,
huyu
Punguzeni
vimbembele
Huyu,
huyu,
huyu,
huyu
Supu
ukitia
nazi
utaharibu
Kidole
niweke
pete,
tuwe
karibu
Kisha
tukawasalimu
Bibi
na
babu,
babu
babu
babu
Watupikie
mihogo
Tunywe
mbege
Tukacheze
sindimba
Ndege
limetua
kwenye
mti
wangu
Nimetekwa
mateka(Ah
Ah
Ah),
Nimetekwa
mateka
Nimeridhika
hayuni
wangu
Nimetekwa
mateka(Ah
Ah
Ah),
Nimetekwa
mateka
Mlango
nimepata
kufuli
wee
Nimetekwa
mateka(Ah
Ah
Ah),
Nimetekwa
mateka
Hapa
mwisho
wa
ujeuri
yee
Nimetekwa
mateka(Ah
Ah
Ah),
Nimetekwa
mateka
Huyu,
huyu,
huyu,
huyu
1 Kipenda Roho
2 Nusu Nusu
3 Moyo Kiburi
4 Mateka
5 Nipe
6 Rudi Darasani
7 Nabembeleza
8 Jela
9 Bado Mapema
Attention! Feel free to leave feedback.