Aslay - Jela Lyrics

Lyrics Jela - Aslay



Naona kiza eeh
Eeh Yeah
Oh my my my Jela
(Isiwe sababu ya kuvunja penzi letu)
Jela ah ah Jela aaah
(Isiwe sababu ya kuvunja penzi letu)
Jela aah ooh
Tangu nifungwe sikuoni
Mara ya mwisho nilikuona mahakamani
Ulikuja kuniona nadhani
Tangu niwe Jela sijakuona tena ooh ooh
Vipi kulikoni
Kwani me na we tuna tatizo gani
Unakula Bata uraiani
Njoo unione nimezungukwa na vyuma
(Njoo unione le le le eee)
Nilifanya kazi ngumu kwa shida
Yote kwa sababu nilitaka kushiba
Mara ya mwisho kukamatwa niliiba
Yani chupu chupu kifo cha kupigwa
Umeongeza hukumu juu ya hukumu
Why unanikataa
Unashindwa kutuma hata salamu
Mwenzako nateseka
Oyo oyooooo (Jela)
Christmas ya sita hii nipo Jela
(Imevunja penzi letu)
Hata siku moja kutia mguu (Jela)
Mbona una roho ngumu wewe
(Imevunja penzi letu)
Nasikia una kabwana kadogo dogo
Pesa unazitumia kwa fujo fujo
Umetupa jongoo (na mti wake eeeh)
Nyumba ya buza umeuza
Nauliza naambiwa fedha umemaliza kwa kulewea
Nakesha na giza
Nauliza naambiwa eti bado sana me kutoka Jela
(Jela) Jela mbaya yeye
Jela pagumu mpenzi (njoo unione yeye)
Nilifanya kazi ngumu kwa shida
Yote kwa sababu nilitaka kushiba
Mara ya mwisho kukamatwa niliiba
Yani chupu chupu kifo cha kupigwa
Umeongeza hukumu juu ya hukumu
Why unanikataa
Unashindwa kutuma hata salamu
Mwenzako nateseka
Oyo oyooooo (Jela)
Je Jela (imevunja penzi letu)
Jela mbaya mbaya Jela pabaya (Jela)
Laaaa la la la la la laaaa
(Imevunja penzi letu)



Writer(s): Aslay Isihaka Nassoro


Aslay - Kipenda Roho
Album Kipenda Roho
date of release
19-01-2020



Attention! Feel free to leave feedback.