Aslay - Nasubiri Nini Lyrics

Lyrics Nasubiri Nini - Aslay



Ehhh_ooh
Hmm mwili umejaa vidonda donda
Kisa kupenda aaah
Naitwa bwege nahisi kwa kuhonga honga
Sabuni chooni
Namaliza mimi kwann jamaaaaniiii
Hmm
Kama Mwajumaa
Nimempa simu cha ajabu kani block
Salimaaaa
Hataki mapenzi anataka pochi
Magumu Avelinaaa
Baada ya kumpa gari eti hanitaki
Nguvu sinaa eeh
Wololoo loooo
Ay bora nifeee
Huenda nitagomboka pengine
Mmh
Ay bora nifeee
Huenda nitagomboka pengine
Kwani nasubiri nini duniani
Nasubiri nini
Mmh
Kwani nasubiri nini duniani
Nasubiri nini
Niliempendaga mwenzangu
Akaumiza roho yangu tu
Kaniwazisha niwe padri
Nihudumie kanisa tu
Ah huu-haa
Nikaogopa mapenzi tu
Tena usinywe na sumu ukautoa uhai (ya ninii)
Usijemlaumu alokuacha zamani (Zamaniii)
Ukikata na roho utajibu nini siku ya kiamaaa
Kama Diana
Nimempa simu cha ajabu kani block
Ayeeeh Peninaaaa
Hataki mapenz anataka pochi
Mama Ivanaa
Baada ya kumpa gari eti hanitaki
Nguvu sinaaaa
Wololoo looh
Ay bora nifee bora nifeeee
Huenda nitagomboka pengine
Labda nitagomboka eeeh
Ay bora nifeee (wololo woloolooeeeh)
Huenda nitagombokaa pengine
(Usiseme usiseme)
Kwani nasubiri niniii
Duniani
Nasubiri niniii nasubiri niniii eeeeh
Usiseme
Kwani nasubiri niniii
Duniani
Nasubiri niniii
Japokuwa huja ni wish hiihii
Kwenye birthday yangu
Ila usikose mazishi
Kwenye Msiba wangu
Japokuwa huja ni wish hiihii
Kwenye birthday yangu
Ila usikose mazishi
Siku ya msiba wangu
Ila usikose mazishi
Siku ya msiba wangu




Aslay - Nasubiri Nini
Album Nasubiri Nini
date of release
12-04-2018




Attention! Feel free to leave feedback.