Lyrics Mama - Ben Pol
Ooooh
mama
Mama
ninakupenda
Mama
Mama
ninakuheshimu
Mama
(Mama
eeh)
Mama
ninakupenda
Mama
Mama
ninakuheshimu
mama
Miezi
tisa
(eee
ee)
Mbumbumbu
sijui
lolote
Ila
Mama
Wewe
waniongelesha
Miezi
tisa
(eee
ee)
Tumboni
sijui
lolote
Ila
Mama
Kabisa
uliningojea
Ukashona
na
sare
Kusubiri
nianze
shule
Wakasema
chizi
yule
Si
angengoja
akuwe
Eeh,
Mama
siwezi
kukulipa
mimi
Uliyonipa
hayanunuliki
Upendo
wako
mi
sitosheki
Jembe,
jembe
Mama
nakukubali
wewe
Ooooh
Mama
Mama
ninakupenda
Mama
(Mama,
mama--)
Mama
ninakuheshimu
Mama
Mama
ninakupenda
Mama
(Mama)
Mama
ninakuheshimu
Mama
Aah
aah,
ukitoa
Mungu
Mbunge
ni
wewe
ni
wewe
ni
wewe
Waziri
ni
wewe
ni
wewe
ni
wewe
Raisi
ni
wewe
ni
wewe
ni
wewe
Mama
Kila
kitu
ni
wewe
ni
wewe
ni
wewe
Aah,
nitanunua
na
kanga
zenye
maneno
mazuri
uone
Aaah
tena
nitazichanga
na
sarafu
nikupe
uchune
Aah,
nitanunua
na
kanga
zenye
maneno
mazuri
uone
Aaah
tena
nikizichanga
nitakupa
na
noti
uone
eeh
Mama
Sijasahau
sadaka
zako
kutoka
moyoni
Uliponipa
wakati
Mama
yangu
hauna
Sijasahau
sadaka
zako
kutoka
moyoni
Mama
Uliponipa
Mama
wakati
wewe
hauna
Tena
kama
nikienda
Mama,
jua
ninakuthamini
Na
moyoni
mwangu
nimekuweka
Mama
Tena
kama
ukienda
Mama,
jua
ninakuthamini
Na
moyoni
mwangu
nimekuweka
Mama
Oh
kipenzi
ooh
kipenzi
oh
kipenzi
oh
Oh
mpenzi
ooh
mpenzi
oh
mpenzi
oh
Oooh,
Mama
Mama
ninakupenda
Mama
Mama
ninakuheshimu
Mama
Mama
ninakupenda
Mama
Mama
ninakuheshimu
Mama
Mama
ninakupenda
Mama
Mama
ninakuheshimu
Mama
(Uuh)
Asante
kwa
malezi
Asante
kwa
vitumbua
Asante
kwa
chapati
Asante
kwa
kunikung′uta
Asante
kwa
malezi
Asante
kwa
vibajia
Asante
kwa
mandazi
Asante
kwa
kunipa
bua
(Asante)
Attention! Feel free to leave feedback.