Lyrics Binadam - Diamond Platnumz
Eyoh...
Yoh
I'm
back
Bob
Junior,
I'm
back
Acha
vita
ianze
Wamechelewa
Ni
we
pekee
unaejua
wangapi
binadamu
wabaya
(wabaya)
Ndugu,
rafiki,
nani
ana
roho
safi,
nani
ana
roho
mbaya
(mbaya)
Ni
we
pekee
unaejua
wangapi
binadamu
wabaya
Mola,
naomba
nilinde
niwe
na
upendo
wa
dhati
Wote
niishi
nao
sawa
Nilipouanza
mziki,
mbali
na
dhiki
Nimekutana
na
matatizo
sana
Sikuwa
rafiki,
sithaminiki
Bado
kidogo
mie
tu
nikate
tamaa
Wangu
moyo,
ulivumilia
dharau
na
masimango
mi
Mi
wangu
moyo,
ulivumilia
utumwa
na
manyanyaso
dih
Yaani
nahangaika
usiku
kucha
naambulia
patupu
Nilikuwa
naumia
Moyoni
najipa
moyo
kesho
ntakuwa
maarufu
Mwisho
wa
siku
nafulia
Ile
nahangaika
usiku
kucha
naambulia
patupu
Nilikuwa
naumia
Najipa
moyo
kesho
ntakuwa
maarufu
Mwisho
wa
siku
nafulia
Ni
we
pekee
unaejua
wangapi
binadamu
wabaya
(wabaya)
Ndugu,
rafiki,
nani
ana
roho
safi,
nani
ana
roho
mbaya
(mbaya)
Ni
we
pekee
unaejua
wangapi
binadamu
wabaya
Mola,
naomba
nilinde
niwe
na
upendo
wa
dhati
Wote
niishi
nao
sawa
Kidogo
nakula
na
mama
yangu
Siwezi
kuwasahau
na
ndugu
zangu
Upendo
popote
alipo
kwa
baba
yangu
Japo
alinikataa
Aa
bata
nakulaga
mi
na
rafiki
zangu
Tunacheza
Reggae
na
masikini
wenzangu
Alazwe
pepa
peponi
na
bibi
yangu
Mjukuu
wake
Sanana
Sababu
ya
ugumu
wa
maisha
Na
maumivu
ya
mapenzi
nikaandika
"Kamwambie"
Ndo
hapo
hustle
zikaisha,
kabariki
Mwenyezi
watanzania
wanizimie
Asa
hivi
kwenye
tamasha
tu
likitajwa
jina
watu
wanashangilia
Wengine
furaha
inazidi
kina
hadi
kabisa
wanalia
Asa
hivi
kwenye
tamasha
yaani
ikitajwa
jina
watu
wanashangilia
Wengine
furaha
inazidi
kina
hadi
kabisa
wanalia
Ni
we
pekee
unaejua
wangapi
binadamu
wabaya
(wabaya)
Ndugu,
rafiki,
nani
ana
roho
safi,
nani
ana
roho
mbaya
(mbaya)
Ni
we
pekee
unaejua
wangapi
binadamu
wabaya
Mola,
naomba
nilinde
niwe
na
upendo
wa
dhati
Wote
niishi
nao
sawa
Eii
tena
wabaya
sana
Ouu
wanakatisha
tamaa
Eii
uh
wabaya
Tena
wabaya
Ouu
aah
Sana,
wabaya
sana
Wabaya
sana
Mmh
wabaya
sana
Attention! Feel free to leave feedback.