Lyrics Nalia Na Mengi - Diamond Platnumz
Me
niliambiwa
mapenzi
ni
kama
bahari
Ukishazama
ndo
basi
umepotea
Kumbe
mwenzangu
alikuwa
na
tanari
Badala
ya
kuzama
me
kwangu
akaelea
Akawa
ananidanganya
Nikiwa
nadhani
ananipenda
sana
Mikwanja
nikamwaga
mama
Japo
sio
kivile
ila
kwangu
ya
maana
Wakawa
ananidanganya
Nikiwa
nadhani
ananipenda
sana
Mbona
mifedha
nikamwaga
mama
Japo
sio
kivile
ila
kwangu
ya
maana
Wakaja
wajinga
wakamchukua
Wakamhonga
honga
mwisho
wakamnunua
Wajinga
wakamchukua
Wakamhonga
honga
mwisho
wakamnunua
(ayayayayaaaa)
Usinione
nalia
(rraa),
usinione
nalia
(rraa),
mwenzenu
nalia
na
mengi
Usinione
nalia
(rraa),
nalia
(rraa),
sababu
ya
mapenzi
Mwenzenu
nalia
(rraa),
nalia
(rraa),
nalia
na
mengi
(Uuuh)
Jamani
nalia
(rraa),
nalia
(rraa),
sababu
ya
mapenzi
Najua
alimaanisha
kuwa
simfai
ila
lakini
angesema
Kuliko
alichofanya
me
akantoa
nishai
akanimeza
akanitema
Nyie
mapenzi
yanauma
vibaya,
vibaya,
vibaya
Mmmh
mapenzi
yanauma
vibaya,
vibaya,
vibaya
Ile
ghafla
safari
Ndio
inanifanya
mi
usingizi
sipati
Huwa
nakumbuka
mbali
Hasa
nikisikia
harufu
yake
ya
marashi
Me
kwa
uchungu
nilivyoumia
Nikaandika
hili
songi
la
mwanduku
nalia
Na
vocal
nikaingiza
kwa
hisia
Naimani
iko
siku
nyimbo
itamfikia
Me
kwa
uchungu
nilivyoumia
mie
Nikaandika
songi
la
mwanduku
nalia
Na
vocal
nikaingiza
kwa
hisia
Naimani
ipo
siku
nyimbo
itamfikia
(ayayayaaaa)
Usinione
nalia
(rraa),
usinione
nalia
(rraa),
mwenzenu
nalia
na
mengi
Usinione
nalia
(rraa),
nalia
(rraa),
sababu
ya
mapenzi
Mwenzenu
nalia
(rraa),
nalia
(rraa),
nalia
na
mengi
(Uuuh)
jamani
nalia
(rraa),
nalia
(rraa),
sababu
ya
mapenzi
Usione
nakosa
raha
mama
nalalama
kwako
mara
kadhaa
We
ni
msaada
kwenye
tuta
so
ukichomoka
balaa
Sijiwezi
kwangu
giza
naweza
kimbiza
na
hii
taa
Na
hilo
unajua
inavyoumiza
ushashuhudia
mara
kadhaa
We
ndo
urithi
wakung'ang'anie
ninung'unike
nilie
Njia
yetu
moja
niache
nipite
suka
usinibanie
Kwa
mahaba
ya
kinyamwezi
na
swaga
zako
juu
Na
miguu
napata
picha
kitandani
kungfu
Uko
juu
ukipita
lazima
wasome
namba
We
ndo
kibri
fimbo
kiboko
ya
midomo
mamba
Huu
ndo
mfano
hata
unajua
neno
pamba
sifa
yake
Kwa
kitambo
ntakulinda
kama
mkinga
mwenye
shamba
Mikogo
kila
leo
ntajigamba
nusu
soldier
nusu
mpweke
Kisela
piga
teke
inauma
Usiombe
mapenzi
yakupige
teke
inauma
Usiombe
mapenzi
yakupige
teke
eeeh
bounce
Usinione
nalia
(rraa),
usinione
nalia
(rraa),
mwenzenu
nalia
na
mengi
Usinione
nalia
(rraa),
nalia
(rraa),
sababu
ya
mapenzi
Mwenzenu
nalia
(rraa),
nalia
(rraa),
nalia
na
mengi
(Uuuh)
jamani
nalia
(rraa),
nalia
(rraa),
sababu
ya
mapenzi
Aaahaaaaa
aaaaaahaaa
aaahaaaaa
Uuuuuubuuhhuuuu
aaaaaaaa
aaaaaaaa
aaaaa
Attention! Feel free to leave feedback.