Dully Sykes - Kupenda Lyrics

Lyrics Kupenda - Dully Sykes

Usione nakusumbua, me nakupenda we
Yale mapenzi ulionipa, ndo yafanya nakusumbua
Naomba nihurumie eeh, unanitesa we
Kupenda kwangu ndo kwanifanya
Niwe fala bwege kabisa
Siwezi kuvumilia aah, utaniua we
Penzi lako ni laajabu, duniani sijapata ona
Usishangae nalia, waninyanyasa we
Kosa langu kosa gani ma, kukupenda sio makosa
Lala lala lala laah, lalala lala laah
Lalalala lalalala lala, lalalala lala lala lalaah
Lala lala lala laah, lalala lala laah
Lalalala lalalala lala, lalalala lala lala lalaah
Siwezi juta kupenda, kukuoenda we
Mwenyezimungu kanionyesha
Na wewe ndo malaika wangu
Nishike japo mkono, twende pamoja
Popote pale utapokwenda
Nipo radhi naminakwenda
Mimi na-force mapenzi ili unipende we
Unasema ninaku-boar, sipendezi kuwa na wewe
Nakuletea maua aah, wayachoma moto
Wanihukumu bila makosa, tafadhali nifikirie
Lala lala lala laah, lalala lala laah
Lalalala lalalala lala, lalalala lala lala lalaah
Lala lala lala laah, lalala lala laah
Lalalala lalalala lala, lalalala lala lala lalaah
Sina makosa wanionea bure
Unafurahi minalia, unafurahi minalia
Sina makosa mwenzako wanionea bure
Unafurahi minalia, unafurahi minalia
Lala lala lala laah, lalala lala laah
Lalalala lalalala lala, lalalala lala lala lalaah
Lala lala lala laah, lalala lala laah
Lalalala lalalala lala, lalalala lala lala lalaah
Pancho Latino

Writer(s): Dully Sykes

Dully Sykes - Biberon
Album Biberon
date of release
09-01-2015

Attention! Feel free to leave feedback.