Dully Sykes - Dhahabu Lyrics

Lyrics Dhahabu - Dully Sykes



Oow yeah say yeah
Ooh mama hey hey hey
Say hey
Nakupenda maa
Basi njoo maa
Mi kila saa kabisa kwako kichaa
Girl just listen, tuishi kwama Eden
Nakuweka kwenye top 10
Nadata na reception
Mi nachoka hoi, pande zote huniboi
Niite baby boy nitumie achana na toy
Clothes, vipodozi, mapozi yamekwenda course
Na sasa dozi na hisia za machozi
Na napenda zako nywele ndefu
Zimekwenda shule
Upande wa maumbile
Nadata toka pindi ile
Sura yenye mvuto
Mashavu yenye dimpose
Sura yenye mvuto
Mashavu yenye dimpose
Oh, oh, oh! Yaani soo
Nimepata dhahabu mtoto wa kariakoo
Mtoto anavutia kila pande ooh
Mtoto anakomesha mpaka mabishoo
Oh, oh, oh! Yaani soo
Nimempata dhahabu mtoto wa kariakoo
Mtoto anavutia kila pande ooh
Mtoto anakomesha mpaka mabishoo
Mara ya kwanza nilikutana naye kitaani
Nikampa Hi! huku akinishika shavuni
I'm a Josline a.k.a mpendwa na watu
Kwasababu mi na-flow style zaidi ya tatu
Yeah kashtuka kaniangalia
Hakuamini kama "Perfume" niliwaimbia
Mshkaji mmoja hivi ndo uliofuatia
Mara akatikisa kichwa kifuani akaegemia oh
Ghafla akaanza kulia
Huku akinishika kwa hisia
Wasiwasi ukanijia
Kumuona demu anan'lilia
Anadai anazimika navyo-flow
Namgusa mpaka mwisho
Yaani namweka full, yeah
Hisia zangu kwenye muziki zinachoma
Ndo sababu kubwa iliyomfanya anipende sana
Mtoto mzuri ukimwona utampa heshima
Mi namuita dhahabu ndani ya kariakoo nzima
Oh, oh, oh! Yaani soo
Nimepata dOhhahabu mtoto wa kariakoo
Mtoto anavutia kila pande ooh
Mtoto anakomesha mpaka mabishoo
Oh, oh, oh! Yaani soo
Nimepata dhahabu mtoto wa kariakoo
Mtoto anavutia kila pande ooh
Mtoto anakomesha mpaka mabishoo
U-lonely tena bye, mi nafurahi
Niko stimu za mjani, kichwani niko high
Namuona manzi maskani, yuko so fly
Mi nawahi, najigeuza Dully namfuata nampa hi
Nimeshaini kama Mully, kadata mtoto hakatai
(Heheh heheh)
Anang'aa kama gold (yeah, yeah)
Yeah, yeah, yeo-yeoh yeoh, yeo-yeoh
Anaita kama bling thing
Kama dhahabu, ameshafika kwa king
Queen wa heri na ajabu
Anakila sababu, asipate tabu
Nimezimika ajabu (sana tu)
Heheh
Yeoh, hapendi pesa, hapendi show
Ye anampenda Blue
Washamteta hasemi no
Ye anaona fool
Ndo mama Kabyser
Ajulikana mpaka kwetu
Steve unataka kumjua?
Master J twenzetu
Oh, oh, oh! Yaani wa soo
Nimepata dhahabu mtoto wa kariakoo
Mtoto anavutia kila pande ooh
Mtoto anakomesha mpaka mabishoo
Oh, oh, oh! Yaani soo
Nimepata dhahabu mtoto wa kariakoo
Mtoto anavutia kila pande ooh
Mtoto anakomesha mpaka mabishoo
Oh unasifiwa style
Una bonge la smile
Real I'm telling, napenda yako smile
Popote najinadi, popote najinadi
Hakuna wa zaidi, hata awe P Diddy
Oh my girl sema chochote nikugee
Mtoto unakata, hapo mi ndo nadata
Kiuno nakamata, oh raha nazipata
Kiuno nakamata, oh raha nazipata
Go, go shorty
Kata mi nidate, no story
Unaponipa mate
Ona sasa wameshaanza hao
Vishiki anasa wametega antena zao
Oh, oh, oh! Yaani wa soo
Nimepata dhahabu mtoto wa kariakoo
Mtoto anavutia kila pande ooh
Mtoto anakomesha mpaka mabishoo
Oh, oh, oh! Yaani soo
Nimepata dhahabu mtoto wa kariakoo
Mtoto anavutia kila pande ooh
Mtoto anakomesha mpaka mabishoo



Writer(s): Dully Sykes


Dully Sykes - Biberon
Album Biberon
date of release
09-01-2015




Attention! Feel free to leave feedback.