Elani - Nimejaribu Lyrics

Lyrics Nimejaribu - Elani



Mmmmmh
Nimejaribu, nilielie nikusahau wewe
Eh nimejaribu,kujikusanya
Ukaniacha mi na aibu,wengine wanicheke juu uko na mwingine
Eh nimejaribu,kujikusanya
(Nikusahau wewee)×4
Pengine nilikawia sana,kukupeleka likizo ikaleta matatizo
Ulitamani sana,Maasai Mara
Au pengine nilichelewa sana,
Usiku wa manane nilifika nimetoka mi
Kuimba juu niko biashara,silipwi mishahara
Na ningependa nikuchukie mami lakini mi si kama wewe
Ata kisasi nikulipize,lakini Mimi sio wewee
Nimejaribu, nilielie nikusahau wewe
Eh nimejaribu,kujikusanya
Ukaniacha mi na aibu,wengine wanicheke juu uko na mwingine
Eh nimejaribu,kujikusanya
(Nikusahau wewee)×4
Pengine nilikupenda sana,
Ulipokosa nikakimya hadhi yangu kaishusha na nikakusamehe
Au pengine niombe msamaha,
Sikutosha Mimi kwako ukatafuta wa kando bado nikakusamehe
Na ningependa nikuchukie lakini mi si kama wewe
Ningependa nikusengenye lakini mi si kama wewe
Nimejaribu, nilielie nikusahau wewe
Eh nimejaribu,kujikusanya
Ukaniacha mi na aibu,wengine wanicheke juu uko na mwingine
Eh nimejaribu,kujikusanya
(Nikusahau wewee)×8



Writer(s): Elani


Elani - Colours of Love
Album Colours of Love
date of release
22-10-2019



Attention! Feel free to leave feedback.