Fay-Ann Lyons - Make A Stage (M.A.S) Lyrics

Lyrics Make A Stage (M.A.S) - Fay-Ann Lyons



(Lenny):
All I Need Is An Honest Love...
All I Need Is An Honest Love...
Nishamaliza, Ku Randa Randa,
Nishamaliza, Ku Randa Randa,
Oh, Oh, Oh,
Oh, Oh, Oh,
Oh, Oh, Oh,
(Naimetoka Grandpa)
Oh, Oh, Oh,
1(Lenny):
Nilikuwa Kijana Mmoja Machachari Mwenye,
Mwenye Kupenda Raha,
Na Sikudhani Ya Kwamaba Nitaja Kutilulia,
Nianze Familia,
Lakini Sasa Nimegundua Ya Kwamba,
Hayo Yote Ni Muda,
Tena Sasa Nimechanuka Na,
Nimeshatulia,
(Lenny):
All I Need, Is An Honest Love(Honest Love)
All I Need, Is An Honest Love(Honest Love)
Nishamaliza, Ku Randa Randa(Randa Randa)
Nishamaliza, Ku Randa Randa(Randa Randa)
Oh, Oh, Oh, Oh, Oh, Oh,
Oh, Oh, Oh, Oh, Oh, Oh,(*2)
2(Lenny):
Oooh Niliona Mabinti Wa Kila Aina, Aina,
Nikachanganyikiwa,
Nikawacheza Sana, Nikavunja Roho Zao,
Bila Kuzingatia,
Lakini Sasa Nimepata Mwenza Wangu,
Nimejinyakulia,
Tena Sasa Nimechanuka Na, Nimeshatulia,
...
3(V6):
Mmmmmh, Damn!! Vile Nafeel Baby,
Usije Ukanifanya Kichaa,
Alafu, Uuuhh, Vile Unakaa Baby,
Lazima Nikupige Picha,
Okay, Penye Miti, Ndio Penye Kivuli,
Karibianga Shika Miti Kama Mavuli,
Oooh Yeah, Hao Wengine Wacha Wasengenyane,
Tucheze Futaa Tuki Kadengeane,
Si Basi Madem Hawana Tabia Ni Shameless,
Kitambo Nikupate, Waliniacha Cashless,
But Usijali Baby Nimerudi Ki Kamlesh,
Na Ushanipa Juju Ki Lenny Na Nameless,
All I Need Is A Wonderful Girl,
With A Beautiful Heart,
Yes Girl I Need A Wife,
And You Are... All I Need.
...



Writer(s): William Lawes


Fay-Ann Lyons - Soca Gold 2007
Album Soca Gold 2007
date of release
12-05-2007




Attention! Feel free to leave feedback.