Lyrics I Am Professional - Fid Q
I
am
a
professional
I
am
a
professional
I
am
a
professional
Smiley
faces
za
face
Zikaitwa
lyricists
na
racists
Terrorists
huniita
bomb
cause,
i
am
a
professional
Na
sio
satanic
verses
cautious
zaidi
ya
Titanic
imezama
Sio
kama
na
flow
wananiita
mfalme
cause,
i
am
a
professional
One
of
the
realest
illest
killest
cat
you
may
see
Mwanajeshi
ka
jeronimo
plot
cause,
I
am
a
professional
Man
who
rules
my
government,
uhuru
is
my
lane
Nam'Obama
McCain
cause,
i
am
a
professional
Long
time
me
i
tell
me
coulda
change
dem
plans
Nikawa
na
dream
ka
da
luther
king
cause,
i
have
a
dream!
Na'speak
in
style
kuwa
unique,
laying
direct
like
an
arrow
Wananiita
Malcom
cause,
i
am
a
professional
Professional
chuo
kikuu
cha
ghetto
nawafunza
kitaaolojia
Industialpolitrix
hustlematrix
cause,
i
am
a
professional
Napima
umbali
kwa
mwendo
kisha
ninahesabu
siku
Muda
ninausoma
kwa
jua
ni
ukweli,
i
am
a
professional
Na
pause
kama
coma
kwenye
sentence,
im
the
first
and
the
second
Nang'ara
kama
almasi
girls
best
friend
Killing
the
drop
thats
what
im
best
at
Vyema
na
hizi
self
expressions,
less
na
mere
more
visions
I
am
a
professional
I
am
a
professional
I
am
a
professional
I
am
a
professional
I
am
a
professional
Ah
Usiniite
brief
kama
nike
just
do
it,
just
do
it
Sikupaki
matope
kwenye
hii
dunia
ya
nguruwe
Wala
si
stop
nikiona
red,
natafuta
daily
bread
Sasa
im
fully
paid
cause,
I
am
a
professional
Mi
ni
zaidi
ya
bling
bling
magari
pesa
Kile
ambacho
hakiuzwi
kwa
bei
ya
chini
and,
I
am
a
professional
Mr
international
Blackspot
ipo
pimped
Usilete
nyodo
ka
za
michael
Jackson
bongo
kuna
stink!,
I
am
a
professional
Panya
avae
miwani
ukimgeza
utakula
carrot
You're
the
best
of
the
worst
and,
I
am
a
professional
Sihitaji
groupie
love
ila
sababu
wengi
ni
materialistic
Naeza
rudi
home
kwa
mama
na
ukola
unalamba
lipstick
Secrets
wont
stay
secret
for
very
long
najiheshimu
niheshimike
cause,
I
am
a
professional
Natokea
mwanza
home
of
the
greatest
rappers,
Mtoto
wa
dandu
comes
first
then,
I
am
a
professional
I
am
a
professional
I
am
a
professional
I
am
a
professional
I
am
a
professional
Samaa
X
huniita
Fid
Q
the
future
Machache
niliyoyapitia
kuna
mengi
nimejifunza,
I
am
a
professional
Ruksa
kunitoa
ushamba
kwa
kile
nisicho
kijua
Ntakuwa
mjinga
kwa
sekunde
kisha,
I
am
a
professional
Nguvu
ya
elimu
ina
umuhimu
pale
elimu
ikitumika
Nalipwa
kwa
vyote
ambavyo
huvijui,
I
am
a
professional
Muda
mwingi
niko
sober
kazi
na
sala
kama
mkoba
Naamini
Mungu
ni
mmoja
ndo
maana,
I
am
a
professional
Tena
im
so
grateful
thankful,
ili
nipate
mema
natumia
ufahamu,
I
am
a
professional
Wanaongea
walichosikia
mi
nasema
nnachojua
na
sio
ugly
flow
iko
handsome,
I
am
a
professional
So
usinitreat
kama
second
class
person
utakuwa
umefanya
first
class
mistake
hey,
I
am
a
professional
And
im
the
best
looking
kama
linen
nikiwa
mwendo
kama
Duke
ukiwa
kwenye
mashine
ah,
I
am
a
professional
HipHop
ni
vile
unavyoishi
rap
ni
kile
unachofanya
sikio
la
kufa
zibuka
usikie
hizi
dawa,
I
am
a
professional
Katikati
ya
jana
na
kesho
hapo
ndipo
kuna
muda
Kazi
madeni
kuzidi
malipo
mwiko
mimi
ni
professional!
Attention! Feel free to leave feedback.