Lyrics Propaganda (Bonus Track) - Fid Q
Police
wanasupport
gangster
Ili
uhalifu
uongezeke
Wabana
pua
kuimba
mapenzi
Itafanya
ukimwi
usepe
Media
zinapromote
beef
Wanadai
zinakuza
mziki
Wadau
wana
wasaniii
wabovu
Jua
kali
ntatoka
vipi
Hizi
ni
propaganda
usiulize
ni
nani
ni
Yupi
saa
ngap
ulikuaje
na
nani
ili
iweje
Hizi
ni
propaganda
utaibiwa
ukicheza
branda
ni
Yule
last
king
wa
Scotland
sio
idd
amin
wa
Uganda
Machungu
napozimwa
ili
ufunikwe
na
asieweza
Mbaya
zaidi
wanampa
promo
lakini
kwenye
show
nammeza
Autaki
kuwa
tatizo
sababu
naweza
tatuka
Uwezi
jua
wap
ntatatuka
iwe
gizani
nilipotupwa
Wanaficha
ili
nisione
wakati
nishajua
Hamkomi
igeni
muone
msamba
navyoupasua
Hivi
unaishi
ili
ule
au
unakula
ili
uishi
Kumbuka
a
small
Mzingira
hatarishi
mabwana
afya
Uswazi
tunaomba
mvua
inyeshe
ili
tusafishe
vyoo
Ogopa
kuwa
haraka
kama
unaogopa
haraka
na
Uki
vote
in
hurry
ujue
una
produce
corruption
Maneno
yao
matam
Midomo
yao
inanuka
Ukipewa
usisahau
Ukitoa
toa
bila
kumbuka
Usihofiwe
kupitwa
ili
mradi
mda
haukuachi
Aamini
kesho
itafika
kama
ipo
ili
uipate
Tunachukiana
kwa
sababu
tunaogopana
Tunaogopana
kwa
sababu
hatujajuana
Hatujuane
kwa
sababu
tunatengana
Dunia
ni
nzuri
walimwengu
hawana
maana
Police
usiniite
mdhururaji
na
unajua
me
ni
mcee
Kisha
unipe
ishara
kama
navuta
radi
kwa
tasibihi
Attention! Feel free to leave feedback.