Lyrics Ni Hayo Tu - Professor Jay , Langa , Fid Q
Oyaa,
dogo,
we
mshamba
we
njoo
hapa
We
ndio
wanakuita
Fid
Q,
(Ndio)
Hebu
atupe
mistari
kwanza...
Korombwea
hayo
maisha
ya
kuungaunga,
hiyo
Shughuli
mi
naiweza
Hapa
utaambulia
ushauri
ukihitaji
msaada
wa
Kifedha
Mi
kujiita
rasta,
wenye
chuki
tu
wanapinga
Wanashangaa
na
kula
nyama,
hawajui
nyota
Yangu
ni
ya
simba
Asiye
fikiri
kabla
ya
tendo,
atatendwa
pale
Akidamka
Na
usinidiss
kwa
kiswahili
kama
hujui
hata
Kukitamka
Kuongea
sio
kusema
na
kufumbua
macho
sio
Kuamka
Wasiwasi
ukiwanyima
raha,
mistari
itawafanya
Kuchangamka
Mnapagawa
na
baadhi
ya
mambo
ambayo
Nayajua
Pia
nna
uwezo
kufanya
mpaka
madawa
Yanaugua
Hii
ni
I
level,
sio
high
level
ndio
maana
hunioni
Waulize
wenzako,
Fid
Q
yupo
juu
zaidi
yako
Homie
Nipo
juu,
je
utanibana
kama
kizibo
cha
soda?
Kushuka
ngazi
tu
unahema,
je
kuzipanda
hupati
Uoga?
Amini
usiamini,
Fid
Q
ndiyo
sauti
ya
mtaani
Je,
mtafurahi
nikishuka
chini
kama
mademu
wa
Marubani
Bora
kuogopwa,
wakikupenda
watakuchukia
Nilipo
na
nilipo
anzia,
sipo
napo
hitaji
nibaki
pia
Si
hofii
kupitwa
ilimradi
muda
usiniache
Hii
ni
kwa
wote,
popote
Siogopi
kuomba
mvua
najua
mnayahofia
Matope
Mwingine
anakurupuka
ananiiga,
anasema
sifai
Naona
vibaya
kumjibu,
sahau
kutupa
mawe
juu
Ya
mayai
Chipukizi
chapeni
kazi
ili
mng'atuke
Mlipokwama
Vumilieni
kama
nyota
mtatoka
jua
likizama
Ni
binadamu
sijakamilika,
kuandika
rhymes
Sikosei
Japo
miluzi
ni
mingi
lakini
jibu
huwa
sipotei
Nitaendelea
kuwa
mshindi
wa
juu
ka
majani
na
Record
Bongo
Nakutembea
kifua
mbele
utadhani
nimedundwa
Ngumi
ya
mgongo
(Aargh,
Fid
Q
kitu
gani
bwana...)
(Afu
mi
ananikeraga
anajifanya
anapenda
mademu
wa
kizungu)
(Achana
nae,
nyie
asikuzingueni
Bongo
fleva
kitu
gani...)
Kila
mtu
Fid
Q
hivi,
mara
Fid
Q
vile
Yaani
Fid
Q,
Fid
Q,
Fid
Q
tuuu,
ni
hayo
tu
Kila
mtu
Fid
Q
hivi,
mara
Fid
Q
vile
Yaani
Fid
Q,
Fid
Q,
Fid
Q
tuuu,
ni
hayo
tu
Ukinicheka
shambani,
mi
nakucheka
sokoni
Chuma
au
fua
chuma,
ni
mwendo
wa
roho
Mkononi
Maisha
ni
mpangilio,
ukitulia
yanajiseti
Ni
kama
A
to
Z
kwenye
mfumo
wa
alfabeti
Hawara
hana
takala,
ukimtaka
unampata
Bendera
ibaki
hewani,
natimba
chaka
kwa
Chaka
Hatufanani
kama
alama
za
vidole
Na
bado
naziamini
falsafa
za
mwenda
pole
Unaishi
nyumba
ya
vioo,
basi
usinitupie
mawe
Heshima
yangu
sikuipata
katika
sandakalawe
Inakuwaje
unadiss?
unampaka
wa
mawazo
Unazungumzia
ujazo,
milazo
au
micharazo
Nilichuna
wakati
wa
kwenda,
ila
sasa
narudi
Nikanyage
bahati
mbaya
nikulipue
makusudi
Ni
hayo
tu,
kama
hujitumi
piga
mihayo
tu
Fid
Q
na
Jizze
heshima
ndiyo
tuitakayo
tu
Kila
mtu
profesa
hivi,
mara
Profesa
vile
Yaani
Jay
profesa?
Jay
tuu,
ni
hayo
tu
Kila
mtu
profesa
hivi,
mara
Profesa
vile
Yaani
Jay
profesa?
Jay
tuu,
ni
hayo
tu
(.jana
nilimuona
maskani,
kaja
na
kipensi
rafiki
yangu
Afu
sijui
kanywa
gongo
alafu
ile
Benzi
lao
analisukuma
halina
mafuta.)
(We
mwenyewe
unamuonaje
kwanza?)
(.njaa.
anapenda
tatizo
mimamaa.)
Natumia
akili,
ustaarabu
na
subira
Situmii
mwili,
jazba
na
hasira
Mapinduzi
daima,
msimamo
kama
Che
Guevara
Usingizi
ndugu
yake
kifo,
sipendi
kulala
Nafuata
mipango
yangu,
sifuati
mipango
ya
Wengine
Niko
focused,
hata
ikibidi
vingine
nijinyime
Wote
tukiwa
masikini,
nani
atamsaidia
Mwenzake?
Niacheni
ni
win,
majungu
msinipake
Wanasema
nimechange,
eti
sio
mimi
wa
Zamani
Sionekani
maskani
kwa
darubini
wala
miwani
Lawama
kibao
utadhani
mahakamani
Mi
nisipo
hangaika
atayenilisha
nani
Wananichekea
usoni,
kisogoni
wananisema
Wanatafuta
mabaya,
wanjifanya
hawaoni
mema
Kisichoniua
kitanikomoza
ki-askari
Unavyo
nichukia
unadhihirisha
mi
mkali
Sina
haja
ya
kurudia,
Fiddy
alishawaambia
"U-superstar
mzigo
wa
mwiba"
ukiubeba
Unaumia
(Langa
langa,
langa
kilanga?)
(Kajinga
tu
kale)
(.Ye
mwenyewe
mshamba
tuu)
(Eti,
kabosi
kale,
.yaani
mimi
kalanga
kale.)
(Machizi
wamemsaidia
kishenzi.
wamembeba
mpaka
wamemchoka)
(.Sio
inshu
yule
aah
sio
inshu
yule.)
(.uhh,
kichwa
chenye
utadhani
madenge.)
(Na
na
nanilii
ngoja
nikwambie,
unajua
eti
enzi
zile...)
Kila
mtu
Langa
hivi,
mara
Langa
vile
Yaani
Langa
tuu,
yaani
Langa
tuu
Kila
mtu
Langa
hivi,
mara
Langa
vile
Yaani
ni
hayo
tu,
huh,
ni
hayo
tu
Na
nafuata
njia
zangu
kama
Carlito
Nayajua
mateso
kama
Mel
Gibson
na
Apocalypto
Na
nafuata
njia
zangu
kama
Carlito
Nayajua
mateso
kama
Mel
Gibson
na
Apocalypto
Attention! Feel free to leave feedback.