Hanstone - Acha Lipite Lyrics

Lyrics Acha Lipite - Hanstone




Mmh mmh
Ah
Lalalaah
Aee
Mie samaki baarini
Chozi langu bure tu kwa maji la teketea
Sa ntafanya nini na umesema nisijikune nisidiriki hata kuongea
Mapenzii
Kama kunamwalimu anipeleke shuleni
Mie siwezi kila ninachofanya ni sawa na bure
Me mwenzako sijazoe kitu kidogo wanifokea
Mie toto dogo sijaanza tembea
Iweje wanikimbiza
Aaah
Na lenye sura halikosi kisogo
Unafuraga mithili ya mbogo
Unakubwa haga huna hata dogo
Wewe
Ngoma zigizaga bando kwa gogo
Nae mi sichaaga futa mkorogo
Unanipimiaga nusu kwa robo
Mie eh
Acha lipite
Acha tu liende zake
Acha lipite
Nitapishana na mengine
Achaa lipite
Mana hujaza leo
Hujaza jana
Acha lipite
Mmh mmh
Mmh
Ati me
Mmh
Mashamba we ndo wakunifunza mie labda mapenzi sijui
Mmmh kudanga
Ukisema ni chamba ukiondoka unarudi asubuhi
Apiri kata zingzong zingzong
Ushanichapa fimbo fimbo
Ukankata shingo shingo
Mie eh
Mashaka zuru ma ndingo ndingo
Ushashinda kwa ulingo ulingo
Mie nshafika ukingo ukingo oh
Mieee
Mie tabasamu langu kilio
Sijui wapi ntashika
Na leo zamu yangu fagio
Na mpini umekatika ie eh
Eeh
Na lenye sura halikosi kisogo
Unafuraga mithili ya mbogo
Unakubwa haga huna hata dogo
Wewe ngoma zigizaga
Bando kwa gogo nae misichaga futa mkorogo
Unanipimiaga nusu kwa robo
Mie, acha lipite
Acha tu liende zake
Acha lipite, nitapishana na mengine
Acha lipite
Mana hujaza leo hujaza jana
Acha lipite
Uwololo lo lo lololo
Lolo
Lolo
Mmh
Mh
Apirikata zingzong zingzong
Ushanchapa fimbo fimbo
Ukankata shingo shingo
Yeii yeee
Mie tabasam langu kilio
Sijui wapi ntashika
Na leo zamu yangu fagioo



Writer(s): Hanstone


Hanstone - Acha Lipite
Album Acha Lipite
date of release
27-01-2019



Attention! Feel free to leave feedback.