Lyrics Usia - Harmonize
Mmmh
mmh
mh
Bboy
Yeah!
Watoto
wangu
nyie
mimi
baba
yenu
Nina
nguvu
sana
za
kuua
hata
simba
Simba
na
makali
yote
Akimuona
tembo
anachimba
Ila
hainivimbishi
kichwa
Nachapa
kazi
siendekezi
majungu
Riziki
anayegawa
ni
Mungu
Eti
niende
kwa
mganga
piga
nyungu
Nimroge
fulani
awe
pungua
aah
Mungu
akikupa
kilema
Lazima
atakupa
na
mwendo
Lipiza
mabaya
kwa
wema
Kuna
maisha
bila
upendo
Umdharau
usiyemjua
ni
dhambi,
dhambi
Mtangulize
Mungu
na
dua
popote
kambi,
kambi
Yeah,
this
life
is
a
gamble
Basi
jitahidi
kuwa
humble
Usimdharau
mama
wa
kambo
Huenda
alisha
kusave
kitambo
Husia,
huu
ni
usia,
usia
wa
tembo
Hii
dunia
tunapita
Huu
ni
usia,
usia
wa
tembo
Usiendekeze
vita
Huu
ni
usia,
usia
wa
tembo
Usijione
special
special
Huu
ni
usia,
usia
wa
tembo
Jua
hauijui
kesho
kesho,
kesho
wowo
Ukikosa
elimu
bora
Sio
mwisho
wa
maisha
yako
Na
kuishi
chini
ya
dola
Wala
hailkuwa
matakwa
yako
Cha
mtu
ni
mavi
Achana
nacho
tafuta
chako
hata
kichelewe
Uaw
na
meza
amajamvi
didhika
na
ulicho
nacho
Omba
kwa
mungu
upewe
kingi
Usijione
queen
ama
king
Na
kukisifu
akili
nyingi
Kisa
unamiliki
shilingi,
shilingi
Mmh!
Punguza
idadi
ya
maadui
Maana
atakae
kuzika
humjui
Mmh!
Mwambie
huyo
paka
anaejiita
chui
Acha
kudandia
bifu
chanzo
hukijui
Kumdharau
usiemjua
ni
dhambi,
dhambi
Mtangulize
mungu
na
dua
popote
kambi,
kambi
Yeah!
This
life
is
a
gamble
Basi
jatahidi
kuwa
humble
Usimdharau
mama
wa
kambo
Huenda
alishakusavu
kitambo
Usia,
huu
ni
usia,
usia
wa
tembo
Hii
dunia
tunapita
Huu
ni
usia,
usia
wa
tembo
(oh
woow)
Usiendekeze
vita
Huu
ni
usia,
usia
wa
tembo
Hakuna
haja
ya
kutunishiana
misuli
Huu
ni
usia,
usia
wa
tembo
Dunia
hakuna
anaeijua
vizuri
zaidi
ya
mungu
baba
Mungu
baba
baba
baba
Usia
wa
tembo
Konde
boy
1 Sorry
2 Outside
3 Serious Love
4 Always
5 Why
6 Turn Up
7 Mtaje
8 Usia
9 Dunia
10 Mdomo
11 Influencer
12 Mood
13 Single
14 What Do You Miss
15 I Can't Stop
16 One Question
17 Sandakalawe (Remix)
18 Muziki
19 Kamaliza
20 Teacher
Attention! Feel free to leave feedback.