Lyrics Happy Birthday - Harmonize
(Wasafi)
(Ah,
ha-ha,
Uprise
Music,
baby)
(Fragga
got
the
recipe)
Kwanza
n'na
furaha
(n'na
furaha)
Nitaimba
na
kucheza
(na
kucheza)
Washa
mishumaa
(mishumaa)
Weka
keki
juu
ya
meza
(juu
ya
meza)
Oh,
ila,
usinicheke
Nimekuletea
zawadi
kidogo
n'lichobarikiwa
(n'lichobarikiwa)
Haki
mwana
mpweke
Aje
na
dumu
la
maji,
asije
kakumwagia
Ah-ah,
na
kapicha
kako
nitaka-post
Was'okupenda
itawa-cost
Ah-ah,
leo
siku
yako
nishajikoki
Tuko
rafiki
zako,
tunasema
"Happy
birthday"
Happy
birthday
to
you
Happy
birthday
to
you
Happy
birthday
(ah-ya-ya)
to
you
Happy
birthday
to
you
Ah-ah,
sinywagi
pombe
leo
n'talewa
(n'talewa)
Niwape
shombe
wal'ochelewa
(wal'ochelewa)
Zikinipanda
monde
nitapepewa
(nitapepewa)
Ah-ah,
pembe
la
ng'ombe
au
malewa
Ila
usi-forgeti
(kusema)
Asante
baba
na
mama
wal'okukuza
ukakua
Tunakupa
na
keki
(kwa
wema)
Akulinde
Baba
Maulana,
twakuombea
na
dua
Ah-ah,
na
kapicha
kako
nitaka-post
Wasiokupenda
itawa-cost
Ah-ah,
leo
siku
yako
nishajikoki
Tuko
rafiki
zako
tunasema
"Happy
birthday"
Happy
birthday
to
you
Happy
birthday
to
you
Happy
birthday
(ah-ya-ya)
to
you
Happy
birthday
to
you
Kata
keki,
kata
(kata)
Oh,
kata
(kata)
Kata
(kata)
(Kata
unilishe)
keki
ya
jina
lako
(kata)
Walishe
na
wenzako
(kata)
Tupo
kwa
ajili
yako
(kata)
(Kata
unilishe)
Oh,
basi
kata
(kata)
Oh,
kata
(kata)
Kata
nikwone
(kata)
Kata
(kata
unilishe)
(Kata)
(Kata)
(Kata)
(Kata
unilishe)
Ah-ah,
na
kapicha
kako
nitaka-post
Attention! Feel free to leave feedback.