Lyrics Wandoto - Ibraah
Nahisi
kama
naota
Na
kumbe
reality
tayari
Aliyefanya
nateseka
Ni
wewe
Na
nafsi
inachochota
Najipa
imani
sijafeli
Nahitaji
faraja
Hata
chembe
nipewe
maa
Macho
pembeni
nisikupe
pesa
Kwako
yaani
nishafika
Kumbe
makucha
uliyaficha
Na
ushanikwarua
ooh
Na
zangu
hisia
umeziteka
Nilipokosea
sawazisha
Usije
hadharani
kuanika
Ukaniumbua
oh
nah
nah
nah
Na
nakuombea
Mungu
Akuepushe
na
mabaya
Hali
dhiki
mafungu
Ila
la
kwangu
ndo
limepwaya
Nalia
nalia
kwa
uchungu
Umenitoroka
nyuma
ya
idhaya
Ni
wewe
japo
nilikudhamini
Na
nikakuitaga
Wandoto
wandoto
Wandoto,
wandoto
Ah
ni
wewe
wa
ndoto
Leo
penzi
umeliweka
vikwanzo
Wandoto
wandoto
Wandoto,
wandoto
Wandoto
uliyekuwa
ni
wewe
Na
kichwa
umekiachia
mawazo
(Oooh
ooh,
aah
yeiye)
Kweli
usiku
wa
giza
usilolijua
Sikuwaza,
sikudhania
kuwa
utanibagua
Sa
unafikiri
nani
wa
kupika
pakua
Ni
wewe
Kishida
kijiba
cha
roho
mwenzako
naugua
Haya
no
commando
siwezi
jipindua
Nawe
ndo
dereva
umezamisha
mashua
Ni
wewe
ni
we
eh
Ila
mwenzako
bado
bado
Moyo
unasonona
Manati
bila
kipago
Nikuulize
wapi
uliona
Mi
nina
uzoefu
wa
kufunga
goal
Uvivu
wa
kufua
foronya
Yaani
siamini
yes
umegeuza
no
Na
kwako
mi
mtoto
nahitaji
nyonya
Wandoto
wandoto
(Ni
wewe)
Wandoto,
wandoto
Ah
ni
wewe
wa
ndoto
Leo
penzi
umeliweka
vikwanzo
Wandoto
wandoto
Wandoto,
wandoto
Attention! Feel free to leave feedback.