Jaguar - Kipepeo Lyrics

Lyrics Kipepeo - Jaguar



Tazama kule kule kule tumetoka
Tazama kule kule kule tumetoka
Nikiwa nawe sitembei
Nakuwa tu kipepeo
Napepea napepea
Juu ya mapenzi unayonipa
Nikiwa nawe sitembei
Nakuwa tu kipepeo
Napepea napepea
Juu ya mapenzi unayonipa
Nataka leo nitangaze niseme
Kama si wewe sitaki mwingine
Na wao wabaya wabaki waseme ni uchawi nami ushaniroga
Mapenzi unayonipa
Hakuna mwingine ashawai nipa
Kama si wewe sitaki mwingine
Kama si wewe sitaki mwingine
Sitakutesa ili unililie
Nitakutunza ili unizalie
Kama samaki sirudi nyuma
Nikiwa nawe sirudi nyuma
Nikiwa nawe sitembei
Nakuwa tu kipepeo
Napepea napepea
Juu ya mapenzi unayonipa
Nikiwa nawe sitembei
Nakuwa tu kipepeo
Napepea napepea
Juu ya mapenzi unayonipa
Maombi nilyoomba yamefika
Niliyemwomba Mola amenipa
Nitamfuata kama kivuli
Kokote aendako
Maombi nilyoomba yakafika
Niliyemwomba Mola amenipa
Nitamfuata kama kivuli
Kokote aendako
Sitakutesa ili unililie
Nitakutunza ili unizalie
Kama samaki sirudi nyuma
Nikiwa nawe sirudi nyuma
Nikiwa nawe sitembei
Nakuwa tu kipepeo
Napepea napepea
Juu ya mapenzi unayonipa
Nikiwa nawe sitembei
Nakuwa tu kipepeo
Napepea napepea
Juu ya mapenzi unayonipa
Tazama kule kule kule tumetoka
Tazama kule kule kule tumetoka
Tazama kule kule kule tumetoka
Tazama kule kule kule tumetoka
Kule kule kule kule kule kule tumetoka
Kule kule kule kule kule... tumetoka
(Eeeh)kule... tumetoka
(Eeeh)kule... tumetoka
(Eeeh napepea pepea pepea...)
End




Jaguar - Kipepeo
Album Kipepeo
date of release
17-04-2015




Attention! Feel free to leave feedback.