Jaguar - Matapeli Lyrics

Lyrics Matapeli - Jaguar



Eeeh, namshukuru mola kwa kunipa hewa na dunia bore,
Kama lunge likuwa no binadamu angenikatia hewa kitambo,
Ona tulio wachagua wanatuchezea kama marioneti
Hakuna anaye tujali, wamekuwa watu wapesa,
Bei ya unga inapanda wakati mahindi inaoza kwa Shamba,
Eeeh, maziwa inaganda wakati kwa duka bei inapanda,
Maskini ata zidi kuwa maskini naye tajiri atajirike zaidi 2,
Nawapigia makofi eh, makofi eh makofi eeh,
Ni matapeli matapeli ni shajua hawatujali,
Nawapigia makofi eh makofi eh makofi eeh,
Hawachoki kutuchezea ni shajua hawatujali,
Eh eeh eh eeh eeeh,
Eh eeh eh eeh,
Wanatengeneza barabara eti watupe usafiri Bora,
Mafuta nayo hayanunuliki, maskini kasafiria wapi,
Wanafanya campaign za malaria tukidhania wanatujali eeh,
Nakumbe nia yao nikutuuzia mosquito net,
Madaktari wanagoma wanaongezewa mishahara yao na wanaburudika dhidi hakuna dawa za wagonjwa,
Maskini ata zidi Kuwa maskini naye tajiri atajirike zaidi 2,
Nawapigia makofi eh makofi eh, makofi eeh,
Ni matapeli matapeli ni shajua hawatujali
Nawapigia makofi eh, makofi eh, makofi eeh
Hawachoki kutuchezea ni shajua hawatujali,
Eh eeh eh eeh2
Eh, eh eeh eh eeh eh, eh eeh eh,
Ni Mimi tu na wewe
Ni mimi tu na wewe,
Ni mimi tu na wewe,
Tunaweza badilisha
Ni mimi tu na wewe
Ni mimi tu na wewe
Ni mimi tu na wewe
Tunaweza badilisha
Ni mimi tu na wewe
Ni mimi tu na wewe
Ni mimi tu na wewe
Tunaweza badilisha
The End




Jaguar - Kioo
Album Kioo
date of release
13-05-2016




Attention! Feel free to leave feedback.