Jaguar feat. Sudi - Barua Kwa Rais Lyrics

Lyrics Barua Kwa Rais - Jaguar feat. Sudi



1 [Jaguar,
Najua sio rahisi, kukuona Rais
Lakini twajivunia kuwa Wakenya
Twatoka kijiji cha mbali, mbali kisicho na hadhi
Lakini twajivunia kuwa Wakenya
Barua twatuma na baiskeli, hivi mpaka lini
Lakini twajivunia kuwa Wakenya
Hata hizo habari hazitufikii
Juu hatuna redio, wala TV
Lakini twajivunia kuwa Wakenya
Tunatamani tukuone, tukuone
Tukuone, tukuone Rais
Ili si na we tubonge, tubonge
Tubonge, yanayotusonga sisi
Hata mvua haijanyesha mwaka jana
Mifugo yetu nayo imekosa nyasi
Chakula cha msaada, hakitufikii
Mke wangu naye alizalia njiani
Sababu huku hospitali iko mbali
Na ni moja tu
Hata li gari
Watoto wetu huku pia elimu shida
Elimu ya bure mahitaji yanatushinda
Kaka yangu alokuwa tegemeo
Kapoteza miguu Lamu siku ya tukio
Lakini twajivunia
Tunatamani tukuone, tukuone
Tukuone, tukuone Rais
Ili si na we tubonge, tubonge
Tubonge, yanayotusonga sisi
Najua sio rahisi, kukuona Rais




Jaguar feat. Sudi - Kioo
Album Kioo
date of release
13-05-2016



Attention! Feel free to leave feedback.