Jaguar - Kioo Lyrics

Lyrics Kioo - Jaguar

One Two,
Maishani ni kama safari ni safari
Hakuna ajuaye kesho itakuwaje
Najiangalia kwa kioo, kioo, kioo
Najiangalia kwa kioo, kioo, kioo
Najiangalia kwa kioo, kioo, kioo
Najiangalia kwa kioo, kioo, kioo
Maisha kama safari na yangu ishang'oa nanga
Tuna siku mbili muhimu, ya kuzaliwa na ya kuzama
Yangu ya kuzaliwa nishaijua bado ya kuzama toka duniani
Wanaongea sana na hawajui kule nimetoka
Wakisema na didimia ona bado napepea
Wakiniombea mabaya duniani nazidi rusha zaidi yao
Wakidhani na didimia ona bado napepea
Wakiniombea mabaya duniani nazidi rusha zaidi yao
Najiangalia kwa kioo, kioo, kioo
Najiangalia kwa kioo, nijue tofauti ya jana na leo
Najiangalia kwa kioo, kioo, kioo
Najiangalia kwa kioo, nijue tofauti ya jana na leo
Nimetembea pote duniani nimepatana na wengi duniani
Kuna wale wananieleza ukweli wengine wananidanganya
Wengine hawalali wakitaka kushindana nami
Hawajui kule nimetoka hawajui yale nimeona
Wakisema na didimia ona bado napepea
Wakiniombea mabaya duniani nazidi rusha zaidi yao
Wakidhani na didimia ona bado napepea
Wakiniombea mabaya duniani nazidi rusha zaidi yao
Najiangalia kwa kioo, kioo, kioo
Najiangalia kwa kioo, nijue tofauti ya jana na leo
Najiangalia kwa kioo, kioo, kioo
Najiangalia kwa kioo, nijue tofauti ya jana na leo

Writer(s): rr, ulopa ngoma

Jaguar - Kioo
Album Kioo
date of release
17-04-2015

1 Kioo

Attention! Feel free to leave feedback.