Lyrics Mama Mia - Jose Chameleone
Hé,
hé,
hé
Oli,
oli,
oh
Tumezaa
na
wewe
watoto
wanane
Sasa
waniwacha
Unasema
umechoka
na
mimi
masikini
Sasa
wanitupa
Niende
wapi?
Na
nifanye
nini?
Watoto
wanalia
huko
nyumbani
Lakini
hizo
mambo
ni
za
duniani
Ume
weka
raha
mbele,
wewe
uni
oni,
Njoki
Mbona
umeniacha
Umeniachia
watoto
Mpaka
wanalia
huko
nyumbani,
Njoki
Mbona
umenitupa
Kama
na
figure
yako
Ndiyo
kama
ya
chupa,
Njoki
wewe
Mimi
ndiyo
mpenzi
Usitupe
eti
mimi
sina
mali
Tafadhali
hao
wa
mapenzi,
wako
na
pesa
Alafu
hawana
mapenzi
Hiyo
ni
kweli,
Chameleone
ndiyo
mpenzi
Usitupe
eti
mimi
sina
mali
Tafadhali
hao
wa
ma
Bima
wako
na
pesa
Alafu
hawana
penzi
Mbona
umeniacha
Umeniachia
watoto
Mpaka
wanalia
huko
nyumbani,
Njoki
Mbona
umenitupa
Kama
na
figure
yako
Ndiyo
kama
ya
chupa,
Njoki
Mama
mia,
mama
mia
Mama
mia,
mama
mia
Mama
mia,
mama
mia
Mama
mia,
mama
mia
Sasa
watoto
wanalia,
angalia
Chameleone
mi
nalia,
mama
Mia
Shida
ni
mengi
kwa
duniani
Mingi
hata
wanaume
wanalia
kweli
kweli
Kila
siku
pesa
na
mafuta
Kumnunulia,
Hakuna
Mafuta
Kumbe
siku
moja
atabadilika
Mbona
una
badilika
ume
ni
tupa
Mama
Mia
Ogopa
Deejays
(Dothie)
Situwa
sike
tomboa
Situwa
sike
ya
roga
roga
Situwa
sike
tomboa
Situwa
sike
ya
roga
roga
Situwa
sike
tomboa
Situwa
sike
ya
roga
roga
Situwa
sike
tomboa
Situwa
sike
ya
roga
roga
Mbona
umeniacha
Umeniachia
watoto
Mpaka
wanalia
huko
nyumbani,
Njoki
Mbona
umenitupa
Kwa
maana
figure
yako
Ndiyo
kama
ya
chupa,
Njoki
Mbona
umeniacha
Umeniachia
watoto
Mpaka
wanalia
huko
nyumbani,
Njoki
Mbona
umenitupa
Kwa
maana
figure
yako
Ndiyo
kama
ya
chupa,
Njoki
wewe
1 Badilisha
2 Basiima Ogenze
3 Katupakase
4 Dorotia
5 Kipepeo
6 Jamila
7 Champion
8 Mateeka
9 Mama Mia
10 Nekolera Mali
11 Valu Valu
Attention! Feel free to leave feedback.