Kidum - Mungu Anaweza Lyrics

Lyrics Mungu Anaweza - Kidum



Pa pa pa paaaa pa pa mungu baba mungu baba babaaa babaaa
Naimba kwa sauti nkipiga magoti nikimsifu mungu wangu
Nimefahamu kuhusu wema wake
Na fadhili zake bwana wa majeshi upendo wake
Hauna kifani na
Fadhili zake ni
Za kudumu milele
Mimi mpotevu yaani mwenye dhambi na bwana ameniguza nmeona mkono wake
Sasa nahisi nipo kifungoni mwake
Sasa nahisi nina ulinzi dhidi ya shetani
Mungu anaweza yote
Yesu kristo ukweli na uzima
Mungu anaweza yote
Yesu kristo ukweli na uzima
Wengi wanasema kama labda nmekunywa pombe
Wengine wanashuku kama nimepata wazimu
Mimi mwenyewe ninajua kwa nini namsifu
Mimi mwenyewe
Nimebeba ushuhuda wangu kweli nakiri kwamba nimeokoka
Kweli nakiri
Kwamba nimempokea yesu
Mfalme wa maisha yangu kila kitu nasalimu amri
Mungu anaweza yote (nasurrender baba nasurrender babaaaa)
Yesu kristo ukweli na uzima (nasurrender baba)
Mungu anaweza yote
Yesu kristo ukweli na uzima
Ye ye ye ye ye ye ye
Jiweke mikononi mwake ah mungu anawezaaa ye mungu anaweza (mmh)
Haijalishi yakwamba umekaa koinange
Street ukabariki mungu anaweza kukutoa hapo
Haijalishi yakwamba umepiga ngeta
Watu majengo mungu anaweza kukubadilisha
Tutafanya maombi kama mambo yako
Yamekuwa ngumu kweli mungu atayaweka sawaa
Tutafanya maombi tukemee magonjwa
Kwa jina la yesu uta onakitenda akitendaa
Tutafanya maombi tukemee shetani kwa
Jina la yesu tukisema kwambaa tukisema kwamba
Shetani shindwa shindwa shindwa shindwa shindwa shindwaa
Shetani shindwa shindwa shindwa shindwa shindwa shindwaa
Shetani toka toka toka toka toka tokaa
Shetani toka toka toka toka toka tokaa
Wuuhuuuhuu
Nasurrender babaaaa
Mungu anaweza yote (mungu anawezaa mungu anawezaa mungu anawezaa)
Yesu kristo ukweli na uzima (nasurrender babaa)
Mungu anaweza yote
Yesu kristo ukweli na uzima
Mungu anaweza yote
Yesu kristo ukweli na uzima
Mungu anaweza yote
Yesu kristo ukweli na uzima
Haleluyaaah haleluyaaah
Mungu anawezaaaaaa



Writer(s): Jean-pierre Nimbona


Kidum - Hali Na Mali
Album Hali Na Mali
date of release
01-03-2014




Attention! Feel free to leave feedback.