Kidum - Hali Na Mali Lyrics

Lyrics Hali Na Mali - Kidum



Tulu tutulu lulululu
Watakuja, wakijipodoa wakijirembesha
Na mavazi yao,
Nakubali kweli ni moto moto yanavutia
Lakini husiwe na hofu
Kwako mimi sibanduka
Usitishwe baby na kelele za kungu
Mimi na wewe tuko ndani
Kwenye shindano la mapenzi
Kungu itapiga kelele lakini kamwe hitoboi
Umeteta, kama napenda,
Kutazama vyumbe, kina dada
Nasema pole, ntarekebisha
Kukupoteza ntaruka kichwa
Umenijali kwa hali na mali
Hakuna moyoni ambaye atanipa penzi lako
Umenijali kwa hali na mali
Hakuna moyoni ambaye atanipa penzi lako, penzi lako mmh
Tonight, tonight usiku wa leo
Nothing stands between uuus oh
You need to know, that we need to make this right
I can never let you goo
And it feels in the love that we share
Feeling you everywhere
Boy you have no doubt i am your girl
And it makes me crazy
When you don't trust me
When there's nothing that I wouldn't, for you baby
If I've wronged, baby am sorry
Kukupoteza mpezi, nitapata kicha
Umenijali kwa hali na mali
Hakuna moyoni ambaye atanipa penzi lako
Umenijali kwa hali na mali
Hakuna moyoni ambaye atanipa penzi lako
Penzi lako, chumvi kiasi
Aaah yeah Frasha
Umenijali kwa hali na mali
Penzi lako kama asali
Kwangu wewe mkali, wewe hunibembeleza
Kama R. Kelly guitar anavyo cheza
Yeah ah, we hunibembeleza kama kidum boss anavyo imba
Umenijali kwa hali na mali
Hakuna moyoni ambaye atanipa penzi lako
Umenijali kwa hali na mali
Hakuna moyoni ambaye atanipa penzi lako,
Penzi lako tamu tamu, penzi lako
Umenijali kwa hali na mali
Hakuna moyoni ambaye atanipa penzi lako
Umenijali kwa hali na mali
Hakuna moyoni ambaye atanipa penzi lako, penzi lako
Penzi lako
Kwa hali na mali, kwa hali na mali yeah



Writer(s): kidum


Kidum - Hali Na Mali
Album Hali Na Mali
date of release
01-03-2014




Attention! Feel free to leave feedback.